JK usiogope vyama vya msimu... Wataenda watarudi weye ndo Raisi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK usiogope vyama vya msimu... Wataenda watarudi weye ndo Raisi!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eliesikia, Mar 4, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Aslaaam,

  Nimemkumbuka ndugu yangu JK akijinadi kuwa yeye ndio yeye na CCM ndio chama...
  Wengine wooote ni mamluki wa msimu tuu mpaka uchaguzi... Sasa CHADEMA wameamua kumthibitishia uongo wake, naona kapagawa kabisa. Sasa anadai wanahatarisha amani. JK ni mwanasiasa lakini hasomi alama za nyakati alitumia jukwaaa kudanganya UMMA na sasa jukwaa hilo hilo linatumika kumkandamiza na kumkanisha maneno yake...

  USHAURI:
  Nadhani JK akikiri mbele ya UMMA kwa wingi wa watu uleule wa Pale jangwani tarehe 30 oktoba 2010 kuwa CHADEMA sio chama cha msimu, bila shaka CHADEMA watasitisha maandamano maana wameshakubalika kuwa chaguo la wengi la sivyo CHADEMA wataendelea kujinasibu kuwa wao sio wa msimu na wanawawaza wananchi siku zote..
  Siku zote Wananchi wanapenda kutembelewa saana lakini JK alidhani CHADEMA hawawezi labda kwa sifa za kisiasa au kimajungu tuu... Lakini sasa naona keshapata woga kuwa CHADEMA ni ya watu kweli.. Kama hawapendwi yee atulie tuu na sii kukimbilia udini, woga, hotuba uchwara na sifa za kijinga.

  Nawasilisha
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vyama vya msimu vimemgeuka?
  Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds.
   
Loading...