Jk unajua kuwa ukarabati ule ulio ahidi kuugharamia kwa pesa zako chumba cha ct scan bado | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk unajua kuwa ukarabati ule ulio ahidi kuugharamia kwa pesa zako chumba cha ct scan bado

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tambarare, Jun 4, 2011.

 1. t

  tambarare Senior Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK Rais wangu sijui nani atakufikishia huu ujumbe.........!!!!!!!!unakumbuka maneno matamu ambayo ulikuwa unasema mbele ya wapigakula na wagonjwa wa hospitali yetu ....tunaiita ya taifa japo mie binafsi sioni hilo kutokana na mifumo iliyopo hapo,,,,mazingira machafu,,,,,,,wafanya kazi wamejaa ubabe......wanafanya kazi kwa sababu tu wameajiriwa hapo,,,,,,,uongozi wa juu upo kimaslahi binafsi zaidi kwani hatuoni mabadiriko yoyote ambayo yanatokea sijui hata hapo watakapo anzisha hiyo huduma ya upasuaji wa moyo........mungu atujarie tusiumwe moyo kwani nalazimishwa kuamini kuwa wagonjwa watakao kuwa under knife kupona kwao ni majariwa na sio juhudi binafsi za madactari
  nirudi katika mada yangu napenda kukwambia kikwete ule ukarabati ambao ulisema ufanyike ili chumba cha CT SCAN kifanane na hali halisi ya thamani ya mashine vilevile ni njia mojawapo ya kuitunza mashine na vitu kama vumbi haujafanyika .....nakumbuka katika mazungumzo yako ni kwamba kama nilielewa vibaya ulisema utagharamia vile kama sio ikulu naomba kama wana jf au any body wamfikishie habari hizi yawezekana mheshimiwa alitoa pesa afu ndg zetu wakachakachua kwani sasa almost mwaka vile nimerudi kufanya kipimo sijaona mabadiriko
  asante mungu akulinde kikwete

  n[/FONT]:dance:
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Amesahau, labda arudi Loliondo akapate tena kikombe. Si unakumbuka 2006 alitembelea wizara zote na akatoa maagizo lakini akasahau kufuatilia mpaka alipokwenda Loliondo January 2011 ndiyo akazinduka na kuanza kufuatilia maagizo aliyotoa mika 6 iliyopita, huyo ndie JK Mzee wa kuanguka anguka.
   
Loading...