Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

The Only way to counter INTIMIDATION is OBJECTIVE VOLUNTEERING To INTIMIDATION AND IT DRILL EXERCISE.

Kwa kuwa Serekali ya CCM imefikia namna mpya ya kutatua matatizo ya wananchi wake kwa MATISHO yanoambatana na KUGOLEWA MENO, KUCHA na VIUNGO VINGINE VYA MWILI.

Kitaalam namna ya KuiAgUsha serekali hiyo ... NI MAANDAMANO YA WATU KAMA 1000 kuelekea ikulu au bungeni WAKIWA WANADAI KWA DHATI KABISA .. KUNGOLEWA MENO , KUCHA NA VIUGO Vingine ambavyo serakali inadhani itasadika ili kutatua matatizo ya Wananchi waliyoiweka madarakani.

Ujumbe huu tafadhali uwafikie wanaharakati wote ...!!

Waliojitolea hadi sasa ni

1. Kigogo

2.

3.
 
Kumbe Ulimboka ana jamaa wengi JF kuna mwingine jana alisema Ulimboka alikuwa anamsaidia sana wakati wapo chuo tutasikia mengi safari hii.
Akili ndogo kama ya baba yako DHAIFU.Damu za watu zitawadhuru tu siku moja
 
Majibu ya hotuba ya Kikwete ni tosha Watanzania kuwajuwa kuwa nyie ni wanafik Hoja ya mgomo inawatokea puani, sasa mnakuja na viroja. Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nafurahi sana kuona yote niliyoyaandika humu JF ulipoanza tu huu mgomo yametokea. Nilisema dawa yao hawa ni kupewa kichapo na wananchi na hilo limetokea, nikasema asiyetaka muafaka atafute pa kwenda nalo limetimia.

Sasa ngojeni mdondo mwingine mkurupuke nao. Maana hoja za kisiasa hamna. Kila kitu kwenu ni fitna, majungu, uchochezi, uongo. Mpaka bungeni eti bajeti "0"? nawashangaa sana.
Ukiona mtu mzima anajichekesha hovyo..ujue ameshawahi kupumuliwa kisogoni
 
Duh! Hii ni noma, inabidi mkuu aache tu yale mazoea yake. Maana kwa jinsi waTz tulivyozoea hata asingeomba kwenda kumuona pia ingekuwa soo. Pole mkubwa, "Ndaga Malafyale Kyala akutule upone mbibi"
 
itafika kipindi hata ile ya babu seya itapewa tena promo maana kipindi kile wananchi walikuwa bado waoga! shem on u baba ritz1....!
 
Jamani lakini kwaupande mwingine jaribuni kumuelewa . Anajulikana kuwa ni dhaifu kama imeshajulikana kuwa ni hivyo. Naona asamehewe ila tumwache amalizie hiyo miaka yake 3 halafu. perfomance will judge.​
 
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....

POIIIIIIINT ndugu yangu kigogo
 
Kigogo kumbe kitambo upo

Duh!, kumbe huyu Kigogo ni wa longi!.
P
 
Kigogo kumbe umeanza mbali eee

mi sio muongeaji sana humu...lakini kwa kifupi Dr.Ulimboka alikuwa best man wa kaka yangu...so habari hii imetoka mdomoni kwa Dr.Ulimboka mwenyewe na aliyenipa ni kaka yangu alikuwepo wakati Ulimboka anakataa...asante
Hapa vipi?seriously?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom