Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....
 
Habari tamu hii, lakini hebu ipe nyama basi ili wakuda dhaifu wasije sema ni uzushi.
 
mi sio muongeaji sana humu...lakini kwa kifupi Dr.Ulimboka alikuwa best man wa kaka yangu...so habari hii imetoka mdomoni kwa Dr.Ulimboka mwenyewe na aliyenipa ni kaka yangu alikuwepo wakati Ulimboka anakataa...asante
 
Zile pesa ulizotumia kupata urais hazina uhusiono wowote na maamuzi ya watanzania walioamka!kuomba kwenda kumuona Dr Ulimboka haina maana toa maamuzi sahihi watu watakuheshimu!kamata msangi na wenzake(wamechemsha) hawako proffesional kabisa maana deal lime back fire hakuna jinsi kuwaweka rumande kama zombe!angalau!kazi kwako maana Msangi alitegemea baada hili sakata atakuwa RPC!!!!
 
mkuu hotuba yake kuna mahali inaonyesha mkuu wa nchi ameshiriki katika huu mpango hebu ona hapa ''Dkt. Ulimboka alikuwa mmoja wa kiungo muhimu katika mazungumzo baina ya Serikali na Madkatari. Ni kweli kwamba yeye si mtumishi wa Serikali, hivyo hakustahili kuwa sehemu ya majadiliano haya. Kulikuwa na rai ya kutaka asiwepo, lakini nilisema wamuache maadam Madaktari wanamuamini kuwa anaweza kuwasemea vizuri zaidi kuliko wao wenyewe walioajiriwa na Serikali.''
 
Zile pesa ulizotumia kupata urais hazina uhusiono wowote na maamuzi ya watanzania walioamka!kuomba kwenda kumuona Dr Ulimboka haina maana toa maamuzi sahihi watu watakuheshimu!kamata msangi na wenzake(wamechemsha) hawako proffesional kabisa maana deal lime back fire hakuna jinsi kuwaweka rumande kama zombe!angalau!kazi kwako maana Msangi alitegemea baada hili sakata atakuwa RPC!!!!

nimependa sana mawazo yako....Msangi hawezi aka act hii kitu kama mgambo wa kata wanavo deal na wamama wauza ubwabwa
 
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....
Hakika tunaumizwa na matendo ya "Kihuni" yanayofanywa na Serikali kwa sasa. Kinachoonekana dhahiri ni UKOSEFU WA NIA YA DHATI wa kutatua tatizo lilopo. Na kwa jinsi hali ilivyo unapoona serikali inatumia njia za porini kutatua tatizo basi hapo ujue unaongozwa na "majuha". Idadi ya madaktari wanaofanya kazi katika hospitali zetu kwa maana wale wanaoshika wagonjwa hapa Tanzania haifiki 500. Wengi wa madaktari wanafanya kazi za utawala na kwenye miradi mbalimbali ya afya. Hivi kweli nchi hii inashindwa kuanza kwa kuwaangalia hawa wachache kwa kuboresha mazingira yao ya kazi japo hata kwa ahadi zenye muolekeo wa kutekelezeka? Ndio maana naona hapa hakuna nia ya dhati kwasababu ya Uhuni na Ujuha wa viongozi waliopewa dhamana kubwa kuliko uwezo wao wa kiakili.
My advice: Take a head count of those who are actually practising in our hospitals and start by adressing issues with them. You wont need the billions Pinda has been given and announce the other time I wasted time listen to him. Playing with media and torturing people is outdated methods of intimidation which will never work. Gadafi couldnt I doubt if this weak government which is scrupulously coluding with Iran to reflag their ships will stand the anger of people which is growing by seconds.Mheshimiwa Raisi you need to refuel your THINK TANK it reads near to Zero from where I stand and you as an appointing authority is responsible hundred percent.
 
Ninavyomfahamu Jk atajibu kuwa Ulimboka ni mtu mdogo, hana hadhi kama ya Kanumba.
 
Ivi huu mpango umetekelezwa na Hemedi msangi,huyu bwana mdogo wa polisi anasikitisha
 
mi sio muongeaji sana humu...lakini kwa kifupi Dr.Ulimboka alikuwa best man wa kaka yangu...so habari hii imetoka mdomoni kwa Dr.Ulimboka mwenyewe na aliyenipa ni kaka yangu alikuwepo wakati Ulimboka anakataa...asante

Kumbe Ulimboka ana jamaa wengi JF kuna mwingine jana alisema Ulimboka alikuwa anamsaidia sana wakati wapo chuo tutasikia mengi safari hii.
 
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....

Hii ni tamu sana.Najua inamuumiza na kumnyima usingizi huko alipo..alijua kila mtu atadanganyika tu na huu unafiki wake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom