JK-Ufunguzi wa-"kikampeni kampeni" utasababisha maafa makubwa!!!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Mheshimiwa Rais JK,Nakusihi sana tena nipo chini ya miguu yako,tuachane na mambo ya Kampeni haswa yanapokuja Maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla... Ni zaidi ya mwezi sasa Pantoni mpya iliyotengenezwa kwa asilimia kubwa na kampuni ya Kitanzania ya Songoro,katika mto Pangani kukamilika lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma... Kisa...Inasubiri ufunguzi wa MBWEMBWE ZA KI-KAMPENI KAMPENI WA JK!!! Loh loh!!! :confused::confused::confused::confused:
Mbona Pantoni mpya ya kisasa ya MV Magogoni ilianza kazi kabla ya kufunguliwa rasmi... TASWIRA ZIFUATAZO HAPO CHINI ...Ni baada ya Pantoni ya zamani kuu kuu kuharibika...

Natumaini wewe ni Memba hapa... au una mwakilishi hapa...

Mheshimiwa busara zako zitaokoa maisha ya wengi... AMEN.





Naomba Mods mnisaidie ziweze-ku-display moja kwa moja Thanks...
 

Attachments

  • Kivuko kibovu.jpg
    Kivuko kibovu.jpg
    221.5 KB · Views: 51
  • Foleni Pangani.jpg
    Foleni Pangani.jpg
    268.1 KB · Views: 45
  • Wananchi wa Pangani.jpg
    Wananchi wa Pangani.jpg
    237.3 KB · Views: 43
  • Kivuko kikisubiri ufunguzi.jpg
    Kivuko kikisubiri ufunguzi.jpg
    295.5 KB · Views: 51
Tatizo hapa ahadi ilitolewa wakati wa kampeni ya kuingia ikulu sasa wanasubiri wakati wa kutaka kurudi ili watueleze si mmeona tumetekeleza ahadi yetu kwa hiyo tuwachague tena. Kinachotusumbua watanzania ni kutokujua wajibu wa serikali kwa wananchi wake. Kivuko,barabara,mashule,hospitali ni jukumu la serikali iliyo madarakani kuwapa wananchi kutokana na kodi tunazolipa lakini hapa tunaambiwa ni CCM sijui hayo mashule na huduma ambazo tulizikuta wakati wa uhuru mkoloni alijenga kwa ilani ya chama gani. Elimu ya uraia ndio njia pekee itakayo tukomboa.
 
Hahahahah yaani JK ana watu wake wanasubiria Sept waje kufungua kivuko na John Komba akiimba changua CCM changua Kikwete Loooh!!! watagawa fulana na kupewa wananchi pilau na kivuko hichooooooo teh teh teh
 
Hahahahah yaani JK ana watu wake wanasubiria Sept waje kufungua kivuko na John Komba akiimba changua CCM changua Kikwete Loooh!!! watagawa fulana na kupewa wananchi pilau na kivuko hichooooooo teh teh teh

You'll be surprised how many will fall for it...lol!
 
Back
Top Bottom