Jk tutamudu gharama za flyovers & madaraja na ufisadi huu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk tutamudu gharama za flyovers & madaraja na ufisadi huu??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Dec 13, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Hi Jf
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kikwete anahitaji PhD nyingine ili aweze mzidi best yake Mugabe!
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  teh teh teh teh teh tehteh
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwanza kishasahau kama aliahidi mambo ya flyover
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,951
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  'Tutamudu vijana msiwe na shaka. Sijasahau, kwanza Obama kaniaidi mchango wake, wachina nao wamesema watatusaidia, pia najaribu kuongea na Mzee Kibaki tuone nini tunaweza kufanya, aaah ila mnikumbushe mara kwa mara kabla ya uchaguzi ujao japo tuanze kuchimba mashimo ya kuwekea nguzo na..........! Sory ngoja nipokee simu ya R. Aziz labda ana mkakati mpya'
   
 6. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ah!
  Mambo ya ahadi za kwenye kampeni mnazileta sasa wakati nimeshinda kwa akili yangu mwenyewe? (Kuchakachua) .
  Hayo tuongee November 2015!
   
 7. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kujenga tutajenga ila mhakikishe kuwa pesa ya nchi haiendi kuwalipa akina dowani
   
 8. B

  BA-MUSHKA Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah! unasubili uendeshe gari barabara za juu, utuangalie sisi kwa chini? endelea kusubiri.
   
Loading...