JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi yako


Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
2,837
Likes
749
Points
280

Nyange

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
2,837 749 280
Chama cha majambazi kimedhihirisha uhuni wake kilivyokuwa kikipora Raslimali za nchi sasa kimejikita kwenye wizi wa demokrasia.

Msinge tangaza kupiga kura, mngeendelea kulazimisha kuongoza kama ambavyo mmefanya. Lakini Mmejiingiza madarakani Shame!
 

Forum statistics

Threads 1,203,887
Members 457,010
Posts 28,133,424