JK- Tumeweza na kuvuka lengo (Ajira 1,300,000) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK- Tumeweza na kuvuka lengo (Ajira 1,300,000)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyunyu, Oct 30, 2010.

 1. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries mitaani apapo wafuna visoda wamepata kazi"

  Hivi kweli huu ndiyo ubora wa JK & CCM towards ajira walizotengeneza kwa wananchi!!! Kweli tuna-aim kwa kiwango kidogo hivi!!!

  Mimi nawashauri tukamuachishe kazi JK kwa kuchagua CHADEMA hiyo kesho!!!:peace:
   
Loading...