Jk: Tumaini lililorejea

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
kitabu hiki cha JK kina mengi mazuri na kukosolewa. ukipata muda kisome. anaonekana alikuwa na ndoto ila maji ni marefu kwake.
 
kusoma kitu kingine na kukubaliana na hoja kitu kingine


kuwa mbishi wa kila jambo ni mchawi
 
Raisi wetu ni rahisi sana! Nataka mnunua Bagarashia na Kandambili
 
Sisomi kitabu cha kumsifu mtu anayehongwa koti na suruali
Kuna mchina mmoja alisema watanzania ni rahsi sana kuwahonga,imeonekana wazi maneno ya huyu mchina yalikuwa sawa kabisa kwa sababu rais mwenyewe anahongeka kwa suti,vp watu wengine? Ni aibu,eti wanakanusha,hawataweza kumsafisha hata wangekuwa wanafanya pres conference kila siku kukanusha.
 
Back
Top Bottom