JK the best president of Tanzania kutua bongo na kuhutubia taifa

Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;

1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi

Ndugu zangu Watanzania, Hali ilivyo hivi sasa ni mbaya sana sana!! Huyu Rais wetu na mwenyekiti wa chama changu, haoni haya wala aibu!! Alikuwa wapi asiyatekeleze haya? Karibia kila kitu kimekwama, mambo hayaendi and the guy is never be serious anyway!!

Mimi nadhani hakuna kitu kingine zaidi ya wananchi wote kuandamana mpk kieleweke. Nashangaa wananchi kulalamikia huduma usioridhisha maosptalini wakti wa mgomo wa madaktari lakini wale walio wazima wameshindwa kuwaunga madaktari mkono kugoma mpk kieleweke. Mbona sisi Wabunge tumeongezewa posho? Ingawa ****** wetu katusaliti tena? Rise up my people tuikomboe nchi yetu!!!
 
Kwanini asianze kwa kuwahutubia wazee wa Dar? Na hapa nahisi anataka kuzua jambo ambalo litajadiliwa na wananchi hata kusahau swala la mgomo wa madaktari....
Nataka kusema serikali yake inahaha kutafuta kitu chochote kile ili kuweze kuzungumziwa kwa Taifa .....ndio maana kila kunapokuwa na tukio la kujadiliwa basi wapo tayari hata kuanzisha tukio lingine.
Lakini hili la Mgomo wa Ma DR limetafutiwa vituko vya kila aina lakini limeshindikana .....hata hizi posho za wabunge kwasasa inatumika kama siraha ....na kuwa sisi Watanzania kwa kuwa ni wasaulifu basi wanatuburuza kweli.

Lakini hana jipya zaidi ya kuwaudhi Watanzania......
 
katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa taifa;

1. Inshu ya jairo na cag
2.kupanda kwa gharama za umeme
3 posho mpya za wabunge
4.mgomo wa madaktari na maslhi ya watumishi wote wa umma na binafsi
5.mafanikio ya safari yake ya davos
6. Mchakato wa katiba mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na makatibu wakuu
8.kukua kwa uchumi wa taifa na kupanda kwa thamani ya shilingi

aibukwanza vipi!hotuba wapi au kaitolea chumbani!nilikwambia jamaa yako he never even deserve to be head of district, he lucks all qualities of true leader, since he came in power as days goes on, we are loosing hope and faith under his leadership, our economy is falling asleep, who is this leader, a leader with no plan, no focus, no intergrity, no iq! A president witrh a purely dirty sheet, he can make any decision above this ground!
 
Back
Top Bottom