mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,729
Mh rais wetu wa Serikali sikivu ya CCM,kwa heshima na taadhima tunakuomba sana na tupo chini ya Miguu yako tutangazie baraza haraka ili sie wananchi wako tusio Mudu Gaharama za Hospitali tupunguziwe Kero za foleni kwenye kliniki zetu za waganga wa Jadi.
Tangu umevunja Baraza Wabunge wa Chama Pendwa cha Mapinduzi wamekuwa wakijaa kwa ma witch Doctor kucheki kusafisha na kuvuta Nyota zao ili uwateue,nakuomba sasa Uwateue kwani Gharama za kliniki zetu za Miti shamba sasa ni ghali Mno,hasa Nyakati za usiku kumekuwa na misururu mirefu,pia vitu kama Nazi,Mbuzi,kaniki,vibuyu vimepanda sana Bei kulingana na Mahitaji kuongezeka katika Kipindi hiki..
Tunakuomba sana ufanye uteuzi ili basi sisi tusioweza hospitali tuwe huru kama zamani,..Ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa Handeni (Tanga)nikiwa Safarini Sumbawanga