JK tangaza baraza upunguze foleni kwa waganga

Nhnnnn...what! viongozi wanaoamini ktk uchawi hatuwataki; ulitumbukiza taifa ktk ushirikina. Ndo maana kila kitu kinaendeshwa kwa nyota! Huu ni upuuzi.
 
Salsa naamini ule msemo kuwa mlango mmoja ukifungwa,kumi hufunguliwa.kumbe kwa akina kagasheki mlango umefungwa alafu kumi ikafunguliwa kwa masangoma.
 
Tunajua jinsi CCM ilivyo ktk kipindi cha pito muda wote siku zote kuna gamba,mzigo unapisha mwingine.Hawa jamaa ni maarufu sana kwa kwenda kwa waganga,vipiti vya teuzi zao hadi za serikali wanayoishikilia.


Maccm wapo very Desperate sana,wapo tayari kuua tembo wote ingawa hawajui wapi wataweza wapata wengine,wapo tayari kuua albino wetu kwa vile wanataka shibisha matumbo yaliyotoboka, wameuza hadi unga.


Chondechonde tuwalinde wenzetu maalbino.

Mods naomba msiunganishe ili kulinda wenzetu na hawa vampires.
 
Hahahaa haaaa uwiii heading tu imenifanya nicheke

kamata fursa twenzetu.

btw mtoa mada umetisha uko safarini kutoka tanga to sumbawanga, aiaee
 
Ndiyo maana mbuzi na kuku weupe walikuwa hawanunuliki bei juu nikadhani ni sherehe kumbe mawaziri wanawahitaji
 
Back
Top Bottom