JK tangaza baraza upunguze foleni kwa waganga

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,666
2,000
Mh rais wetu wa Serikali sikivu ya CCM,kwa heshima na taadhima tunakuomba sana na tupo chini ya Miguu yako tutangazie baraza haraka ili sie wananchi wako tusio Mudu Gaharama za Hospitali tupunguziwe Kero za foleni kwenye kliniki zetu za waganga wa Jadi.

Tangu umevunja Baraza Wabunge wa Chama Pendwa cha Mapinduzi wamekuwa wakijaa kwa ma witch Doctor kucheki kusafisha na kuvuta Nyota zao ili uwateue,nakuomba sasa Uwateue kwani Gharama za kliniki zetu za Miti shamba sasa ni ghali Mno,hasa Nyakati za usiku kumekuwa na misururu mirefu,pia vitu kama Nazi,Mbuzi,kaniki,vibuyu vimepanda sana Bei kulingana na Mahitaji kuongezeka katika Kipindi hiki..

Tunakuomba sana ufanye uteuzi ili basi sisi tusioweza hospitali tuwe huru kama zamani,..Ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa Handeni (Tanga)nikiwa Safarini Sumbawanga
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,728
2,000
Mh rais wetu wa Serikali sikivu ya CCM,kwa heshima na taadhima tunakuomba sana na tupo chini ya Miguu yako tutangazie baraza haraka ili sie wananchi wako tusio Mudu Gaharama za Hospitali tupunguziwe Kero za foleni kwenye kliniki zetu za waganga wa Jadi,Tangu umevunja Baraza Wabunge wa Chama Pendwa cha Mapinduzi wamekuwa wakijaa kwa ma witch Doctor kucheki kusafisha na kuvuta Nyota zao ili uwateue,nakuomba sasa Uwateue kwani Gharama za kliniki zetu za Miti shamba sasa ni ghali Mno,hasa Nyakati za usiku kumekuwa na misururu mirefu,pia vitu kama Nazi,Mbuzi,kaniki,vibuyu vimepanda sana Bei kulingana na Mahitaji kuongezeka katika Kipindi hiki..tunakuomba sana ufanye uteuzi ili basi sisi tusioweza hospitali tuwe huru kama zamani,..Ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa Handeni (Tanga)nikiwa Safarini Sumbawanga

Kitufe cha like kimepotea!!

Eeeeh kwa hiyo foleni huko ni nyingi mno? Ngozi za mbuzi weupe kibao kwa kuwa nasikia wengi wametolewa kafara!

 

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,165
2,000
Nindhahiri wengi viongozi wetu ni watu wasio na sifa za hata kuwa kiongozi wa familia. Tunahitaji mapinduzi ya namna tunavyopata viongozi...natumaini katina mpya itasaidia vetting inayofanywa sasa imechafuliwa na mahusiano ya kingono (Yaani nani ni mwanamke wa nani ni shemeji wa nani mke wake kachukuliwa na nani n.k)
 

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,496
0
Huyo mkubwa wao hatembei bila hao waganga wacha watoto waige manake baba anawaamini sana hawa jamaa.
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
2,000
Nasikia kuna uwezekano EL akawepo baraza linalokuja kama karata ya mwisho ya kumpoza machungu partner wake kwa kukubali kubeba msala kwa niaba yake
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,216
2,000
kuna kitu nime ki note kwenye huu uzi wako , KUMBE HAWA VIONGOZI WA MAGAMBA WENGI WAO WANAPATA VYEO KWA NJIA ZA USHIRIKINA ! nakumbuka kuna mmoja wao alinaswa akifanya ulozi bungeni .
 

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,544
2,000
Ni wakati wa mavuno kwa waganga pia, acha nao wafaidi hizo allowance wanazopata huko bungeni kwa kukaa tu na kusinzia ovyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom