JK:Tadhimini TUZO YA MO IBRAHIMU akimaliza awamu yake

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,842
1,147
Wanajamvi heshima kwenu.

Baada ya kumsikia Mhe Mbunge H. Mnyaa Mnazimu wa kambi ya CUF Bungeni. Mjadala wa katiba Muswada kura ya maoni; Jinsi mhe Jakaya alivyo na dhamira njema anaweza akatwaa tuzo ya Moi Ibrahimu akiipatia Tanzania katiba mpya 2014

Nimetafakari kwa kina na kufanya tadhimini ya kina kama ataistahili.

Kwa kujiuliza na kuuliza Maswali mawili

1.Hastahili tuzo ya Mo akimaliza awamu yake kwasabu gani haswa?
MAJIBU
-Alisamehe wezi wa EPA waliorejesha fedha walizoiba HAKUWATAJA wala wasiorejesha HAWAJAKAMATWA

-Mauaji na kuteswa Dr, Wandishi wa Habari mfano Daudi Mwangosi WATUHUMIWA wakapandishwa cheo kabla havijatokea kauli liwalo na liwe
-Mauaji Arusha, Mabomu mikutano ya siasa, Gongo la mboto, Olasiti, tindikali Tanzania bado wahusika hawajakamatwa.
-Kauli tumechoka wapigwe tu
-Hatima ya Masakata ya RICHMOND, DOWANS
-Rushwa, Ufisadi na Kutowajibika taarifa za CAG
-Kuporomoka sana kwa elimu kuliko awamu zote.

ANASTAHILI
-Katiba mpya mbona hata Kenya wanayo tena bora
-
Nawe tadhimini yako
 
Kweli jamaa he will never ever get MO awards,,hizo ni ndoto
 
Kama kung'oa kucha ' kuchakachua, kuhani misiba, maatokeo ya chaguzi zetu, ndiyo kigezo atapata!
 
mhh,!!sasa kumbe tayari umeshajudge na kutake side kulikua na haja gani ya kuanzisha mjadala?.kama huna usingizi unge gegedana na mke wako mkimaliza hapajakucha ndo mjadili na your wife.

Kwakukusaidia hebu tuwekee wasifu za waliowahi kupata tuzo kwanza ndo tujadili.
 
Kweli tunatofautiana upeo mie ndo mwamuzi wa mwisho hayo ya kugegedana na usingizi yanatoka wapi jenga hoja acha kudhani unaweza kutuhamisha kwenye mjadala kirahisi hivyo. u div 5 unakusumbua
 
mwamuzi wa mwisho wa nini tena?..mkuu wewe utakua umekesha bar...lakini mbona sikukuu umezianza mapema sana asee?.

Wewe weka point hapa za waliowahi kupata hiyo tuzo tulinganishe,kumbe unaanzisha mjadala bila hata ya kufanya research,au unadhani tuko MMU?.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom