JK sasa avalia njuga mimba mashuleni!!!!

Huyu huyu JK ndiye aliyepinga wanafunzi kuruhusiwa kuendelea na shule mara baada ya kujifungua kwa sababu watoto wao wakilia nyumbani wakati mama zao wapo mashuleni basi maziwa ya mama zao yatakuwa yanatiririka!!!! Sasa maziwa kutiririka na kupata elimu wapi na wapi!!!!? Ni unafiki tu.
 
..kuna wanaopata mimba kwa bahati mbaya, lakini wengi wa hawa watoto wanakuwa wamekusudia.

..kuna maeneo ya Tanzania ambapo elimu ni ya kiwango cha chini mno.

..wananchi wa maeneo hayo wamekata tamaa, kwani mwenye "elimu" huwa hana tofauti na yule asiyekuwa nayo.

..katika maeneo ambayo wananchi wamekata tamaa na elimu, it is obvious kwamba mtoto wa kike/kiume atapendelea zaidi ngono kuliko elimu when they have to make that choice.
 
Hivi kweli ni JK ndio kasema haya au kuna prezidaa mwingine labda ambaye mumemfananisha akiyasema haya? Kweli JK KAISHIWA SERA KABISAAA...! Kama ameona hilo suala ni nyeti sana hadi yeye ajihusishe kiasi cha kusahau mambo mengine makubwa yanayomkabili namshauri aanzishe Wizara ya kuzuaia mimba mashuleni, tutafanikiwa kuongeza idadi ya mafisadi. Imeonyesha sehemu nyingi JK kuvutiwa sana na kutetea wanawake, pia kulingana na hali iliyoonekana kwenye uchaguzi uliopita ilionekana ni wanawake wengi waliompatia kura, yawezekana pia hii ni style nyingine ya kuhakikisha hawapotezi wanawake atakapohitaji tena kura zao mwaka 2010. La mwisho jamani naomba tuangalie source ya tatizo, hali ya maisha ni ngumu sana sasa hivi, sitetei mimba za mashuleni lakini hali halisi tunaiona. Unakuta hali nyumbani ni mbaya hata Baba anafikia kuikimbia familia, anakuja usiku wakati wote mumelala anachomoka kombora utadhani anawahi kumalizia lindo la usiku. Mama akimwona mtoto amepata li-fisadi lake linalotoa pesa bila kokoro anasema "Asante Mungu" vyovyote iwavyo lakini wapate kwanza mlo na matumizi mengine maisha yaende. Matokeo watayajadili baadae, wanaotoa fedha bila kokoro sio wengine bali mafisadi maana fedha ya sasa haki ya Mungu kama hujaiba huwezi kuhonga mwanamke, ni ngumu. Kama mimi nasema uongo nipingeni wana-JF, watoto wanataabika sana, wazazi wanajuta kuzaa wanatamani wawameze watoto ili iwe hawakuzaa maana hakuna pesa na ikipatikana haiwezi kutosha hata wakitambikia. Ati huyu aliyeshindwa nchi anakuja na sera "TUTUMIE DNA TEST KUWANASA WANAOKANA MIMBA", NI WAO WENYEWE, UNAFIKI MTUPU. Tunamwomba maana hasira hazijafika kileleni ashughulikie mambo muhimu na ya msingi kabla hasira hazijafika kileleni, la mwisho kama kwa sasa mdomo wake umekuwa mzito kuhusu mafisadi itamrudia yeye muda sio mrefu maana sasa wanapiga kampeni kwamba JK ni mchafu wao ndio wasafi. MAHALA TULIPOFIKIA KWA UKIMYA WA JK NI PABAYA NA GARI LINAYUMBA LAKINI DEREVA ANAJIDAI KUWAAMBIA ABIRIA ATI GARI LIKO FIT NI TYROID END TU IMELEGEA, SIJUI IKIKATIKA ITAKUWAJE...! ANASEMA TUSIHANGAIKE KUHUSU HILO ATASHUGHULIKIA, DEREVA ANASEMA TUKAZE MIKANDA (TUVUMILIE) ILI GARI LIKIPINDUKA TUSIUMIE...!
 
Mkuu akilimtindi

Nafikiri umetoa ujumbe ambao watu kama RAIS JK wanaujua vizuri sana wanajua kuwa kuna watu wengi hawawezi kupata mlo kwa siku, anajua kuna watoto wanafanya mambo ambayo hayastaili na kupata ajari(kama anavyosema yeye ajari ya kisiasa) hili waweze kuwalisha wazazi wao.

Badala ya kutafuta kiini cha tatizo anaakaa kupiga kelele za wakamatwe, wakati anajua yeye ameshindwa kutatua kiini cha tatizo.

Hili halina tofauti na alipo ulizwa hivi anajua kwa nini tanzania ni maskini? akaishia kutoa majibu kwamba hajui.

Ndio maana wengine tumegundua huyu hajui matatizo yanayowakabili watanzania. Kuna wanawake wengi wanajiingiza katika maswala ya kutafuta pesa kwa kutumia njia zao wanazozijua na wanaowatumia ni mafisadi wanaotuibia kwa kusaidiwa na wafanya biashara wanaofadhiri serikali zetu.

Hili halina ubishi na nafikiri Mkuu wa kaya analijua vizuri sana maana na yeye ametokea huko.

Changamoto ni kwambva asikimbie kiiini cha matatizo na kukimbilia kivuli chake. Tanzania ni nchi mojawapo Afrika ambayo tunapoellekea hakujulikani. Na gari la kuelekea shimoni analiongoza yeye. Kama dereva aliye somea udereva tunampa changamoto aangalie vizuri anapoelekea hili aweze kubadilisha mawazo vinginevyo anaimaliza nchi ya watanzania.

Kama alikuwa hawezi kuwa mkuu kwanini hakuisema mapema?
 
Hivi kweli ni JK ndio kasema haya au kuna prezidaa mwingine labda ambaye mumemfananisha akiyasema haya? Kweli JK KAISHIWA SERA KABISAAA...! Kama ameona hilo suala ni nyeti sana hadi yeye ajihusishe kiasi cha kusahau mambo mengine makubwa yanayomkabili namshauri aanzishe Wizara ya kuzuaia mimba mashuleni, tutafanikiwa kuongeza idadi ya mafisadi. Imeonyesha sehemu nyingi JK kuvutiwa sana na kutetea wanawake, pia kulingana na hali iliyoonekana kwenye uchaguzi uliopita ilionekana ni wanawake wengi waliompatia kura, yawezekana pia hii ni style nyingine ya kuhakikisha hawapotezi wanawake atakapohitaji tena kura zao mwaka 2010. La mwisho jamani naomba tuangalie source ya tatizo, hali ya maisha ni ngumu sana sasa hivi, sitetei mimba za mashuleni lakini hali halisi tunaiona. Unakuta hali nyumbani ni mbaya hata Baba anafikia kuikimbia familia, anakuja usiku wakati wote mumelala anachomoka kombora utadhani anawahi kumalizia lindo la usiku. Mama akimwona mtoto amepata li-fisadi lake linalotoa pesa bila kokoro anasema "Asante Mungu" vyovyote iwavyo lakini wapate kwanza mlo na matumizi mengine maisha yaende. Matokeo watayajadili baadae, wanaotoa fedha bila kokoro sio wengine bali mafisadi maana fedha ya sasa haki ya Mungu kama hujaiba huwezi kuhonga mwanamke, ni ngumu. Kama mimi nasema uongo nipingeni wana-JF, watoto wanataabika sana, wazazi wanajuta kuzaa wanatamani wawameze watoto ili iwe hawakuzaa maana hakuna pesa na ikipatikana haiwezi kutosha hata wakitambikia. Ati huyu aliyeshindwa nchi anakuja na sera "TUTUMIE DNA TEST KUWANASA WANAOKANA MIMBA", NI WAO WENYEWE, UNAFIKI MTUPU. Tunamwomba maana hasira hazijafika kileleni ashughulikie mambo muhimu na ya msingi kabla hasira hazijafika kileleni, la mwisho kama kwa sasa mdomo wake umekuwa mzito kuhusu mafisadi itamrudia yeye muda sio mrefu maana sasa wanapiga kampeni kwamba JK ni mchafu wao ndio wasafi. MAHALA TULIPOFIKIA KWA UKIMYA WA JK NI PABAYA NA GARI LINAYUMBA LAKINI DEREVA ANAJIDAI KUWAAMBIA ABIRIA ATI GARI LIKO FIT NI TYROID END TU IMELEGEA, SIJUI IKIKATIKA ITAKUWAJE...! ANASEMA TUSIHANGAIKE KUHUSU HILO ATASHUGHULIKIA, DEREVA ANASEMA TUKAZE MIKANDA (TUVUMILIE) ILI GARI LIKIPINDUKA TUSIUMIE...!

Akili Mtindi hapo ume NAIL mahali pake.
JK mwenyewe kwa vile ni wazi hutembelea hapa...Basi haya yanaweza kumfanya akawa bubu kama Mkapa.
Kwasababu ni kweli kabisa na ni WAZI kuwa hakuna njia ya kutokea zaidi ya HAKI.
 
No comments
 
Aidha, Rais alionyesha hofu yake kuhusu kuwaruhusu wanafunzi wanaojifungua kuendelea na masomo, ambapo alisema ruhusa hiyo inaweza kuongeza idadi ya mimba shuleni.

"Kuwaruhusu wanafunzi wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua kutasababisha nusu ya wanafunzi darasani maziwa yawe yanavuja kutokana na watoto wao kulia nyumbani.

Siukatai utaratibu huo, ongeeni muone ni njia gani nzuri ya kuwafanyia watoto hawa, lakini kuweni makini katika kuamua," alisema.

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/7/28/habari4.php
 
Mi sijui hapa ishu ni teen sex au ni jinai ya watu wazima kufanya mapenzi na watoto?

Sheria zinazovunjwa hapa ni zipi?

Watoto wa shule wakifanya nonino wakapeana mimba, je ni jinai ya polisi au ni teen sex ya vi teenager vilivyokubuhu na kukomaa mapema?

Gazeti la maana hapa lingetuelimisha ishu ni nini na kinachokatwa cha kipolisi polisi hapa ni nini. Kwa sababu approach yake kwenye kutafuta utatuzi inaweza kuwa tofauti.

Magazeti yetu ukisoma huambulii kitu.

Anaejua naomba nisaidie.
 
Aidha, Rais alionyesha hofu yake kuhusu kuwaruhusu wanafunzi wanaojifungua kuendelea na masomo, ambapo alisema ruhusa hiyo inaweza kuongeza idadi ya mimba shuleni.

"Kuwaruhusu wanafunzi wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua kutasababisha nusu ya wanafunzi darasani maziwa yawe yanavuja kutokana na watoto wao kulia nyumbani.

Siukatai utaratibu huo, ongeeni muone ni njia gani nzuri ya kuwafanyia watoto hawa, lakini kuweni makini katika kuamua," alisema.

News Archives - The Free Media of
Umeona Bak
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom