JK Sahani Moja na Upinzani Hotuba ya Agosti

NA anaonekana hana wasi wasi na yanayotokea hapa nchini kama vile hayamgusi moja kwa moja na sijui hata akihutubia ni wangapi watakamsikia maana asilimia kubwa watakuwa gizani kama sio wote
mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!
 
Utasikia"Tumepiga hatua kubwa sana na wataalam wa mambo ya uchumi wametusifu sana, sisi tunakuza uchumi wengine wanaangaika na maandamano" SIJUI HUWA ANAMAANISHA UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI?

Mkuu hizo ni takwlimu za mifukoni mwao na kwa biashara zao si wanapokea faida kila siku so wao kusema uchumi unakua ni kuwa mifukoni mwao mambo yako poa kabisa
 
mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!

Hilo linawezeklana kabisa mkuu na siku hiyo utashangaa umeme utawaka nchi nzima (samahani kwa wale 14% wanaopata umeme na wenye access na umeme huu)
 
Mkuu ukiuliza sana na ukifuatilia sana unaweza pata ugonjwa wa moyo <br />
Mambo mengine bongo hii yanapasua kichwa na unaweza jiuliza hao wanaoyafanya ni watu kweli walio na utashi au ni wanyama
ni aljinun a.k.a majini watu.
 
wakuu msisahau ubeti wa nne ambao utakuwa na neno WIVU, hapa atawataja na wa chama cha chake, kuwa wote wanamwonea wivu, huyu mjomba ni hopeless kweli kweli, ni legelege. na huenda huko lindi anatafuta shehe yahaya. yetu macho.

Kwa jinsi nisivyotaka kusikia nyimbo zake, natamani siku hiyo mitambo ya tanesco igome kuwaka ili ahutubie wa ikulu peke yao.
 
Mkuu ukiuliza sana na ukifuatilia sana unaweza pata ugonjwa wa moyo
Mambo mengine bongo hii yanapasua kichwa na unaweza jiuliza hao wanaoyafanya ni watu kweli walio na utashi au ni wanyama

Ndo wale wanosema ukinikanyaga tu...Te teh teh Haki ya Mungu Tanzaniaaaa
 
mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!

Tena utawaka saa 1 kabla ili kuwapa nafasi wazifute vumbi na TV zao na kama mende walihamia wahame mapema kabla ya kuchafua ray tube
 
JK is the looser president in Tanzania, kwanini tumsimng'oe maana sasa hivi anaishi kisanii sana, wenzake ndani ya chama walitaka kumng'oa kwenye kiti cha uenyekiti akaja na slogan ya kujivua gamba naona anaendelea kupeta lakini mpaka leo hakuna aliyejivua gamba huku kwenye serikali kabisa hali ndio tete, jamaa kaprove failure kabisa...
 
halafu utasikia uchumi unakua na inflation imedhibitiwa.

GDP nayo itakuwa imepanda sana...Huku ukuuliza reflection yake kwa pato la mdanyanyika mmoja mmoja utasikia bado tunafanya upembuzi yakinifu
 
Ndo wale wanosema ukinikanyaga tu...Te teh teh Haki ya Mungu Tanzaniaaaa

Hivi mkuu ukiona hotuba ya jamaa utakaa kweli kuisikiliza
Bora nikapate bia ya moto grossary ya jirani niliwe na mbu kuliko kusikiliza p....u...m...b...a
 
GDP nayo itakuwa imepanda sana...Huku ukuuliza reflection yake kwa pato la mdanyanyika mmoja mmoja utasikia bado tunafanya upembuzi yakinifu

Deni letu la nje limepungua na serikali imepunguza matyumizi yake kwa asilimia kadhaa
 
JK is the looser president in Tanzania, kwanini tumsimng'oe maana sasa hivi anaishi kisanii sana, wenzake ndani ya chama walitaka kumng'oa kwenye kiti cha uenyekiti akaja na slogan ya kujivua gamba naona anaendelea kupeta lakini mpaka leo hakuna aliyejivua gamba huku kwenye serikali kabisa hali ndio tete, jamaa kaprove failure kabisa...

Sijui baada ya Gamba kitafuata nini, hawa jamaa wakishindwa bwana wanakujaga na viswahili vilivyoshiba.

Sitaki kuzungumzia NAN'GATUKA huko tutakwenda mbali, ila ni mfano mmoja wa ubunifu wa Gamba kwa hadithi ya funika kombe mwanaharamu apite
 
Kuna wataalamu wa mambo ya matibabu walikutana Ujeremani. mmoja alitoka Japan, mwingine Ujeremani na watatu Tanzania.

Kutoka Japan akasema. Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila mikono yote, tulifanikiwa kumuwekea mikono ya bandi na sasa amekuwa mwanamichezo maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.

Kutoka Ujeremani akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila miguu yote, tulifanikiwa kumuwekea miguu ya bandi na sasa amekuwa athlets maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.

Kutoka Tanzania akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila kichwa, tulifanikiwa kumuwekea nazi kama kichwa na sasa amekuwa RAIS maarufu duniani.

Mjapan na Mjerumani wakabaki wanashangaa sana. Hivi ninyi mnashangaa nini?? ndo hivyo tena.
 
Mkuu hakuna jipya na zaidi zaidi ni ahadi kuwa bado serikali iko kwenye mchakato na mipango lukuki ambayo haijulikani itaisha lini
Ukitaja neno "ahadi" unanikumbusha uwanja wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa kigoma.
 
Deni letu la nje limepungua na serikali imepunguza matyumizi yake kwa asilimia kadhaa

Kama haitoshi tunapokea wageni wengi wanovutika kuja kujifunza mengi hapa kwetu. Tulikuwa na ugeni mkubwa wa Mama Clinton aaaah wanajifunza nini Wamarekani au wizi wa wanyama kama waarab.

Tunasubiri hii Hotuba kwa hamu sana Mkuu...Tunatambua wanasoma hapa comments na hisia zetu...Danganya toto is approaching to an end
 
Ukitaja neno "ahadi" unanikumbusha uwanja wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa kigoma.

Kakamtwa PM last week mjengoni, domo likajaa mate bibi kiroboto hoi...anaulizwa kuhusu barabara aliyoahidi mwaka 2005 wlau hapa aliepuka mchakato akasema mipango inaendelea
 
Kuna wataalamu wa mambo ya matibabu walikutana Ujeremani. mmoja alitoka Japan, mwingine Ujeremani na watatu Tanzania.

Kutoka Japan akasema. Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila mikono yote, tulifanikiwa kumuwekea mikono ya bandi na sasa amekuwa mwanamichezo maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.

Kutoka Ujeremani akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila miguu yote, tulifanikiwa kumuwekea miguu ya bandi na sasa amekuwa athlets maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.

Kutoka Tanzania akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila kichwa, tulifanikiwa kumuwekea nazi kama kichwa na sasa amekuwa RAIS maarufu duniani.

Mjapan na Mjerumani wakabaki wanashangaa sana. Hivi ninyi mnashangaa nini?? ndo hivyo tena.

:deadhorse:
 
Back
Top Bottom