JK receives chq worth $200,000 or $300,000?

Nurujamii

JF-Expert Member
Jun 14, 2007
414
15
Look at the words and the number of the cheque (Pic attached). Is it $300,000 or $200,000? Now I know why you leaders sign contracts without even reading the contents!! Pity!
 

Attachments

  • Duuh.JPG
    Duuh.JPG
    78.4 KB · Views: 111
Hiyo kali, Jamaa anapokea tu bila kukua amepewa kiasi gani? Two Hundred Thousand US dollars au 300, 000 USD?? Kweli hii inaprove mikataba yetu huwa inasainiwa bila kupitiwa!!!
 
Hilo ni dummy sample cheque, the real money ipo katika form ingine
 
Ambayo ni ngapi? Anayehoji hii ana maana nzito zaidi ya hiyo unayo ichukulia katika face value
I know whatbhe meant, lets talk specific for this picture, JK kaitwa kupokea huo mfano wa check muda fupi tuu kabla hajaiona, nani wa kulaumiwa hapo ? Wasaidizi wake
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom