JK Rais wa kwanza mchumi aliyeboronga uchumi wetu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Rais wa kwanza mchumi aliyeboronga uchumi wetu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Jan 15, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  tawkimu hizi ndizo zinazomshtaki JK machoni pa watanzania:-

  1) Mfumuko wa bei kutoka 5% mwaka 2005 alipokamata dola hadi 19.2% Novemba mwaka jana.

  2) Viwango vya riba za mikopo kutoka wastani wa 23% hadi 45% kuanzia Januari mwaka huu.

  3) Thamani ya shilingi kuporomoka kwa karibu 100% kati ya 2005 hadi leo.

  4) bei ya umeme na nishati nyinginezo kupanda kwa kati 50% hadi 85% kutoka 2005 hadi leo na bado zinazidi kupanda.

  5) kashfa za ufisadi kutia fora......................bila ya wahusika kuwajibishwa...........na tume nyingi kuundwa na kutumika kukwepa kufuata sheria za makosa ya jinai kwa minajili ya kuwanusuru watuhumiwa............

  4) Mengineyo jazilizeni.

  Sifa za mgombea uraisi zake zilikuwa kama ifuatavyo:-

  a) Mjue kijana JK yeye ni mwenzetu na amelelewa ndani ya ccm maisha yake yote tangia amalize UDSM fani ya uchumi.

  b) Miaka 17 ya uwaziri nafasi ambazo ni mbeleko za Mwnyi/Mkapa............................

  sasa tunajua kumbe hizi siyo sifa za kuwa Raisi wa Bongoland.................kwani maisha ya mtanzania yanazidi kudorora na hii 2012 wengi tutaumia sana........
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  viwango vya riba vya 45% hadi 47% vilikuwepo miaka ya tisini hadi 2005 na vilishuka ghafla kwa kile kilichodaiwa ni marekebisho ya uchumi yaliyosababishwa na ubinafsishaji.......................sasa twajua ni kuwa kumbe ni misaada ya kutoka nje ndiyo iliyoleta unafuu na wala siyo sera za ubinafsishaji.............sasa mabwana zetu nje nao maji yamewafika shingoni......................kwa JK ambaye kwenye kampeni zake za Uraisi za 2010 alijivunia kuwa nchi haiendesheki bila mikopo na misaada kutoka nje.................huu sasa ndiyo mtihani nambari one........................hata kilimo kwanza sasa kimesahaulika.....................kwa sababu tegemezi lake ni kubebwa na mbeleko za wakoloni mambo leo ambao wote wameiningi mitini............................ipo shughuli pevu hapo................................na ni ugumu wa maisha tu ndiyo utatuamsha na kudai serikali mpya inayowajibika kwetu....................
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tija ya Kubebana na faida zake,
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  tukiwapa ukweli hukimbilia kuhoji aidha uraia wetu au uzalendo wetu kwao.......................
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  fuatilia global economy ww acha chuki.uchumi wa dunia umedorora na umeyumba,we upo dunia gani?tanzania isnt isolated frm the world
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Atakwambia kwani yeye ni Mungu?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tupo msibani ww ondoa upupu wako apa.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  we umeifanyia nn nchi au una lalamika km mude.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  na bado hatujui kesho lipi litatokea
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kauli huonyesha ujinga uliomo kichwani mwa mtu
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwani jk ni mchumi...?
   
 12. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Acha urongo na vijisababu vya wakereketwa wa CCM.
  JK amechaguliwa lini kuwa Rais? Hiyo global economic crisis imeanza 2005?
  JK alikuta hazina ya kiasi gani kuweza kulipia huduma kwa muda gani, leo iko vipi? Deni la taifa likiwa dola ngapi na sasa limefika kiasi gani?
  Nadhani JK anashikilia rekodi ya kusafiri nje kuliko walomtangulia na bado hajafika 10 yrs!
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  angalau umekiri kazi imemshinda..............................nchi ya South korea ndiyo yaongoza kwa mfano wa sisi kuiga...............kwa hiyo siyo kweli kuwa dunia yote imeanguka.......
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  kitufe cha kukushukuru kimeota mbawa...........................nimefurahishwa na huu mchango
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  B.A Economics UDSM.....................labda alipewa bila ya kuitolea jasho..........
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  msiba upi unaozidi wa siye tuliye hai na ambao tunahitaji mkate.......................aliyekufa hadaai ugali na maharagwe....................miye niliye hai ninahitaji.......
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  huu nao ni utetezi?
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  aliniahidi nikimchagua ataniletea maisha bora kwa kila mtanzania.....................lakini sasa nimebaini kumbe alikuwa ni tapeli tu....................na ndiyo maana alisema uraisi ni suala la kifamilia.....................hakuona kuwa ni suala la kitaifa.............kwa maana siyo familia yake tu inufaike bali sote twapaswa kunufaika..........
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  mpaka huyu mcheza disko amalize kipindi chake tutakuwa tumeipata.............tuombe Mwenyezi mungu atuepusha na machafuko kwani huo sasa yaelekea ndiyo mwelekeo wa kuleta mageuzi ndani ya nchi hii ya wagagigikoko..............
   
 20. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umempa ukweli huo pumba wa ccm na kauli za ccm zisizo na tija,hajui wengne tupo nje ya nchi miaka kibao,tunaona wenzetu wanavyosonga mbele kwa kasi,na sisi tunarudi kwa kasi,sera mbovu za ccm ndio chanzo cha umaskini wetu hakuna kingne
   
Loading...