JK, RA, EL, hawa watatu nawajua, lakini double P, no! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, RA, EL, hawa watatu nawajua, lakini double P, no!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchekechoni, Jan 16, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimebahatika kwa nyakati tofauti kujumuika na wote watatu kila mmoja kwa wakati wake, (RA,JK,EL) na hata wewe ukibahatika kuwa nao utagundua kitu fulani ambacho ni common miongoni mwao, they like to laugh and crack a few jokes now and then. But, about double P (son of a peasant) huyu cmjui na kwa kweli hafit kabisa kwenye hii timu ya mafiga matatu. Jambo moja la muhimu sana ambalo wapinga ufisadi limewapita kando, ni kuwa EL alipokuwa PM, ndiye aliyekuwa anaprovide check & balance btwn RA na JK, ila kwa kuwekwa kando baada ya Richmond scandal, kumempa RA full control over JK, hali ambayo inafanya serikali yote ionekane ya kifisadi machoni pa jamii.
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Good una-maan EL alikuwa Fisadi anayeuma na kupuliza, inawezekana kwa vile alikuwa anataka U-rais kwahiyo hakutaka aonekane mbaya mbele ya Jamii; Kosa lilifanyika ni kuondoka kwake bila impacts, yaani bila mabadiliko sahihi ilitakiwa kuondoka kwake kumzoe na RA hadi jela hapo positive impact ingepatikana
   
Loading...