Jk / pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk / pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shauri, Jan 20, 2011.

 1. S

  Shauri JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi,kama wamemwagiwa maji!mbona hatuoni hio kasi mpya wala ari mpya?:a s 39:
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huoni, huna macho? Kasi ya kuilipa dowans huioni, kazi ya migomo, kasi ya kupanda bei ya mafuta, gesi, mfumko wa bei, kushuka kwa kiwango cha soka! Vyote hivyo mkuu huvioni
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  naona lakini nina makengeza
   
 4. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,299
  Likes Received: 952
  Trophy Points: 280
  Nikasi mpya ya MAISHA MAGUMU.
   
 5. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :frusty: Lazima hasira zetu zitatumezesha misumari na kubamiza vichwa ukutani.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Bado wanatafakari kama hoja ya udini imewaingia wabongo, wakimaliza wataanza kwa ari mya, nguvu mpya na kasi mpya!
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,443
  Trophy Points: 280
  Wote hao ni aibu na mzigo kwa Tz. CCM ni janga kwa Tz...janga baya kuliko njaa, tauni au vita maana jina CCM tu ni full package ya madudu, ufisadi, njaa, ujinga, umaskini, vita nk nk nk
   
Loading...