JK ni Nabii

Madela wa Madilu, I salute you.

Umesahau moja,

Hawa ndiyo wale huwatengea mafisadi viti vya mbele kanisani na kuwapamba kwa kila namna ya sifa na kuwapa madaraka kedekede kama M/kiti kamati ya ujenzi, Fedha n.k.
 
Well, pamoja na kwamba habari yenyewe ni ya 'zamani' kidogo lakini kutokana na hali halisi ya mambo hivi sasa imeonekana ni muhimu iwekwe hapa ili iwakumbushe hao maaskofu kuangalia , pengine huo utabiri wao kama hadi sasa hivi ni valid ama la!

Tunahitaji kukumbushana pale inapoonekana mambo yanakwenda kinyumbe na ilivotarajiwa, au tuseme wakati wa 'mapito' bado haujaisha?

Ni wakati wa kutafakari kila kinachosemwa na kila mmoja wetu...hata hao 'maaskofu'
Kwa upande wangu mi naona hiyo ni sehemu ya kampeni ya baadhi ya vyombo vya habari kutaka kumpa sifa Muungwana aonekane safiii mbele ya wananchi..maana mi naona habari yenyewe, na uaizto wake, na walioisema (no offence meant) inantia wasi wasi...

kitu kinachonichanganya katika hii mada ni kusu habari hii, ningependa kujua ni
...ile ile ya mwaka 2006 may sam kaamua kuiweka tena hapa, au
...ni ileile ya 2006 may waandishi wameipachika tena kwenye magazeti,(la lini) au
...hii ni nyingine ila inashabihiana na ya 2006 may
.

kama ni ileile ya 2006 may, wakati ule ilikuwa mambo ya kampeni na mrema alipinga akawaambia maaskofu kuwa kikwete si chaguo la mungu. Na hii tungweza kuifanya kuwa ni baseline data, then waulize tena hao kina cheyo kuona maoni yao kwa sasa yakoja na utabiri wao.

kama ni ileile ya 2006 may then waandishi wameiweka tena kwenye gazeti, then hapa tunajua kuna mkono wa mtu katika kunyutralize issue inayoendelea sasa.

kama ni tamko jipya la maaskofu, then vina vya mioyo yao vimejaa unafiki na uongo.
 
Tatizo kubwa ni pale mtaalam daktari wa mifupa anapoingilia ufundi wa magari...Kwa akili zake anachukulia kwamba gari lina roho (injini) na vyuma ambavyo anaviona kama ni mifupa. Na huwezi kumwambia kitu kwani yeye ndio daktari.
Huyu Askofu alipotoa maneno yale alikuwa kisha jivua Utukufu wake wa kidini na kuwa ktk kundi la Wadanganyika. Hivyo ni binadamu kama sisi na hukumu yenu imtazame yeye kama binadamu mlalahoi anayetafuta nafasi (ulaji) nje ya kanisa.
 
Mwambieni Askofu cheyo,aangalie mfano wa MONKS wa Maymar(Burma).........I'm just wondering what Machiavelli would have said about huyu the so called askofu, kwa wale mliosoma il principe(the prince) in it enterity mnaweza kuelewa na maanisha nini.......bizzare.
Madela wa Madilu, opinion yako inapendaza sana!!!!!
 
Watu wa dini wana baraka za kuona mbali.Walimuona kuwa nabii tangu 2005.Anyway mimi cheo cha unabii ni cha yule nabii anayepewa ufunuo na Mwenyezi Mungu.Sidhani kama Jk anawasiliana na Mungu yaani kama vile Nabii Ibrahim AS,Nabii Issa AS au Nabii Muhammad SAW.
 
Hao maaskofu walaaniwe kama Kikwete ndie alitengeneza njia ya Juma Pumba Maharaja ona tulipo
 
Nchi ilipoharibika ktk awamu yote ya 4 kwa RUSHWA, UFISADI, NA UTENDAJI MBOVU mbona walikaa kimya, shida yote anayopata JPM ni kutokana na madudu ya awamu ya 4!!
 
Back
Top Bottom