JK ni "Hatari" UVCCM Wamejaribu Wameshindwa. Udanganyifu na Ukweli Havikai Chunguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ni "Hatari" UVCCM Wamejaribu Wameshindwa. Udanganyifu na Ukweli Havikai Chunguni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 5, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Tumesikia JK tena na mipango ya CCM kudanganya na kugeuza facts kuwa uongo. Hivi JK anaamini maneno yake na mawaidha yake? Kipaji cha JK kudanganya wananchi kimeishia hapa....Richmond yeye alikuwa madarakani na Lowasa ni yeye alimlazimisha kujihudhuru na kuficha ripoti ya Richmond ili wananchi wasijue Bunge limeamua kitu gani na serikali ilifanya nini. Who's lying here? Tena na tena tunakumbuka Uuzwaji wa Rada kwa Taifa letu, jinsi walivyosuka Wizi wa aina yake. Kikwete alipata nafasi ya kuprosecute Mkapa na magangstors wote, lakini alifanya hivyo? Who's lying here? Tunakumbuka hata wizi wa funds za kulipia madeni EPA, Taifa lafutiwa madeni na serikali kuendelea kuwalipa CCM. Ripoti kuhusu EPA ipo wapi? Tunajua Viongozi wa CCM baadhi walirudisha funds, kama walirudishwa thats mean wanawajua sio? au mjinga ni nani? Who's lying here? Tunajua jinsi gani Dowans na Richmond zilivyo na uhusiano wa kijamabazi. JK na CCM wakaamua kwenda ICC to cover up na kulipa Dowans badala ya kuwapeleka wote waliohusika na kusaini mkataba wa Tanesco na Taifa kwenye Criminal Court. Who's lying here?Taifa zima linaangamia kwa sababu ya Jina moja Kikwete na jingine CCM. Mikakati ya JK na UVCCM kutoa matamshi ya uongo na kujiokoa na maandamano yaliopangwa nchi nzima, wanaona wave of opposition na the fall of CCM is here. Maneno fake hayasaidii chochote sasa, muulize Pharaoh Mubarak kaongea mara ngapi kwenye vyombo vya habari tangu maandamano yaanze? Jitihada ni hizi, kipindi cha budget kimekuja na serikali ya CCM haina pesa na wanataka dunia ione wana make efforts zozote kujisafisha. Hakuna donors atakaye toa misaada ili Dowans walipwe hii hata wafanyaje. Umeme hawana funds za kununulia mafuta. Mipango mikubwa ya maandamano mwezi huu yanawatishia CCM, kwamba sasa wanafukuzwa...
  EPA Scandal: Recover the Loot, just don't Prosecute? « Tanzanian Common Cents
  BAE Sentencing On Hold Due To Judge's Skepticism - Corruption Currents - WSJ
  How corruption ‘eats' Tanzanian taxpayers' hard earned revenue

  "JK Justice is Coming to Tanzania No Matter How Far You Intend to Sugar Coating the Truth "
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Post yako ilikuwa imebeba ujumbe mzuri lakini umeiharibu kwa kutumia kiingereza kibovu! next time andika kwa lugha yetu tuendeleze kuchangia mawazo! Wacha niangalie movie!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Lakini ujumbe umefika. Lakini kuongezea nasema tu kwamba ni kweli JK ni mtu hatari sana katika kuongoza nchi. Hawezi, nchi inamshinda na hajiamini kabisa. Maamuzi yake ni ya 'fuata upepo'.

  Ni karibu miezi 3 sasa tangu hukumu y7a Dowans itolewe lakini kakaa kimya weeeeee eti leo ndiyo kaamua kusema akiwa katika gwanda la kijani! Eti anaongea masuala ya kiserikali katika environment ya chama chake.

  Kwani kama anajiamini pale pale hukumu ya ICC ilipotolewa angetoa tamko rasmi, tena la kiserikali -- kama kweli anayosema ni kweli, kwani 'kweli' ya wakati ule ingekuwa na nguvu kuliko 'kweli' ya sasa hivi -- miezi mitatu baada ya kuyatathmini matamshi ya watu mbali mbali. Ni mfuata upepo tu, hua anaogopa kutoa maamuzi yuake kwa kujiamini.
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks kwa mawazo yako ya acknowledge errors za lugha. Najua ujumbe umekufikia...You learned how to edit today thats means you gained something...
   
Loading...