JK ndiye rais wa mwisho kwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ndiye rais wa mwisho kwa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfu Lela Ulela, Jan 3, 2011.

 1. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha rais Kikwete kukubali issue ya katiba mpya inaonesha wazi huwa anafanya kazi kwa shinikizo au kishabiki.

  Hii inatokana na ukweli kuwa hoja ya katiba mpya ilianzishwa na CHADEMA, na baada ya kuungwa mkono na jamiii Jk akaamua kuibaka.

  Kwa hali hii ya serikali ya ccm kufanya maamuzi kwa kushinikizwa hamuoni itawagharimu 2015 watakapojaribu kuchakachua matokeo wananchi wanaweza kushinikiza na mambo yakawa tofauti na matarajio yao, hivyo ukomo wa CCM ukawa mwisho Jk? Mnasemaje wana JF.
   
 2. Marunde

  Marunde JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2008
  Messages: 253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Hiyo katiba itakuwa kiini macho tu.Itatungwa katiba ya kuifever ccm yenyewe so usije ukafikiri itajimaliza aaawapi!
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Ile kauli ya Mkulu ni changa la macho.Kuwaziba watu mdomo.
  sasa hivi wanapanga back-up plan, jinsi ya kuichakachua hiyo hoja na hata hiyo katiba kama itaandikwa.
  Inaonekana huifahamu vizuri CCM, Mkuu.
  Hawako tayari kujinyonga!!! Na hasa ukitilia maanani ukondoo wetu.
  Well 2015 haiko mbali... tutayaona tukibahatika kuwa hai.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa nini unawashtua hawa jamaa??? Ungekaa kimya tu ili washtukie wamebwagwa tu kwenye uchaguzi ujao. Ccm ni mafia ukiwashtua hivi watatumia muda wote kujiandaa namna watakavyocheza rafu ili waendelee kuongoza nchi na wananchi tutaendelea kuogelea kwenye umaskini.
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Tamko la Rais ni sheria.Tayari lishamtoka mdomoni,tusubili utekelezaji.naomba mali asili za tz ziwemo kwenye katiba.
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuepusha vujo na mifarakano kwenye uchaguzi wa 2015 katiba mpya haiepukiki
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,

  Tukibadili katiba, hiyo iko wazi si suala la mjadala tena.

  CCM haitatawala, Indicator inaonesha uwezekano wa kuwepo ni mdogo bali kinaweza kufa.:ranger:
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,648
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  I thought Mkapa ndo alikuwa raisi wa mwisho wa CCM...maana kwangu kikwete ni kama malkia Elizabeth, JUST FOR DECORATIONS!
   
 9. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 462
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  jamani watanzania tusiwe wajinga kiasi hiki,Jk hajakubali kuundwa kwa katiba mpya mchakato bado hajakubaliana nawe,watanzania ni lazima sasa mbadilike na kuwa watu watu waelewa na watafiti wa mambo.

  Alichokubali JK ni sawa na alichokifanya Benjamim Mkapa na kilichofanywa na mwinyi kuunda tume itakayo weka viraka vya marekebisho,hii haitatupeleka popote kwani tume itaundwa na JK na mapendekezo ataamua mwenyewe nini kiwepo.

  Tunaitaji katiba mpya itakayojumuisha watanzania wote na si vinginevyo ,kwa maana hiyo bado JK hajatimiza haja za watanzania wengi wanaoelewa.
   
 10. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  we jamaa ulizaliwa lini? 2008? au? nani kakuambia hoja ya katiba ilianzishwa na chadema? Ndo maana huwa napataga tabu sana kuchangia hoja dhaifu kama hii kwa sababu hata mleta thread mwenyewe hajielewi licha ya kuelewa akiletacho. Better you ask before.
   
 11. m

  mzambia JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  huo niuchochezi mi simo
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280

  Sure,
  Hoja ya katiba haijaletwa na Chadema, ni wazo la siku nyingi sana la watu kama akina Kambona, na kupigiwa debe na Mtikila, Leo Lwekamwa n.k. Ilifikia hatua hadi Leo Lwekamwa wa TLP enzi hizo aliikanyagakanyaga katiba katika mkutano wa hadhara na kujikuta mikononi mwa dola.

  Ni vema kama tukaijua historia hii.
   
Loading...