JK NDIYE MSOMI ZAIDI TZ kwa sasa (JK Vs Tumtemeke Sanga)

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba.

JK:
BA UDSM 1
Phd one of the US University 1
Phd Dodoma University 1
Phd Fatih University -Turkey 1
Phd MUCHS 1

Total 5

KaMA KUNA MINGINE MWENYE DATA ZAIDI AONGEZEE HAPA!
 
Crap!
Thread yako inatusaidia nini katika jamii. Peleka kwenye udaku na siyo hapa kwa great thinkers.
 
Kuweka sawa kumbu kumbu nadhani alipata moja Kenya!

jk.jpg

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Rais Jakaya Kikwete mjini Nairobi mwaka 2008.

Pia chuo kikuu cha waislam Morogoro wapo kwenye Mchakato wa kumpa PhD mwakani, SUA na Mzumbe nadhani hadi anamaliza ngwe yake vyuo vyote vya umma watakuwa wamefanya hayo.
 
Great thinkers wapi bana acheni kujitutumua kuna cha great thinker humu..hapa ni sawa na kijiwe cha kahawa magomeni usalama pale kwa shoeshiner...
 
Kuweka sawa kumbu kumbu nadhani alipata moja Kenya!

jk.jpg

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Rais Jakaya Kikwete mjini Nairobi mwaka 2008.

Pia chuo kikuu cha waislam Morogoro wapo kwenye Mchakato wa kumpa PhD mwakani, SUA na Mzumbe nadhani hadi anamaliza ngwe yake vyuo vyote vya umma watakuwa wamefanya hayo.

nadhani hata chuo cha ustawi wa jamii pale karibu na hongera bar nao watakuwa wanachakata wampe PhD ya Heshima katika mambo ya kijamii
 
Kuweka sawa kumbu kumbu nadhani alipata moja Kenya!

jk.jpg

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Rais Jakaya Kikwete mjini Nairobi mwaka 2008.

Pia chuo kikuu cha waislam Morogoro wapo kwenye Mchakato wa kumpa PhD mwakani, SUA na Mzumbe nadhani hadi anamaliza ngwe yake vyuo vyote vya umma watakuwa wamefanya hayo.

Mkuu kwa kweli nimekubali kwa jinsi ulivyo na pic data base!!! Big up...
 
Malaria Sugu huwa anakataa kama haoni picha. Haya bwana mkubwa nifanyie lile lililo la muhimu nipatie "thanks" ya kitufe
 
Kuna haja kuangalia hili swala la kumpatia mheshuimiwa hizi Gegree! Zimekuwa nyingi mno ambazo kiuhalisia haziendeni na heshima ya mchango wa hayo aliyoyafanya kwa kuangali mfano kwenye huduma za afya bado kina mama wanafariki kwa kukosa huduma bora wakati wa kujifungua. Zahanati nyingi hazina madawa ya kutosha nk. Lakini bado mashahada yanamiminika.

Hivi vyuo vikuu vingine ninafundisha maadili na usimamizi wa rasilmali za nchi. Sijajua wametumia vigezo gani kumpatia shahada hizo kwani kuna swala la migodi yetu kuto nufaisha taifa lakini pia kuna swala la ukwapuaji wa fedha pale BOT kupitia Kagoda hakuwa wahi kueleza ukwapuzi huo.. hebu tuone labda anaweza kuuvunja ukimya..
 
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba.

JK:
BA UDSM 1
Phd one of the US University 1
Phd Dodoma University 1
Phd Fatih University -Turkey 1
Phd MUCHS 1

Total 5

KaMA KUNA MINGINE MWENYE DATA ZAIDI AONGEZEE HAPA!

Kaka umekosea nini mbona hatuoni MASTERS DEGREE yeyote kwenye list?
 
......UNLESS UTUAMBIE DEGREE THE TUMTEMEKE SANGA (rip) NAZO ZILIKUWA ZA KUPEWA OTHERWISE UNAKOSEA KUFANANISHA HAWA WAWILI. UNATAKA KUFANYA KAMA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS WALIPIOKUWA WANAPAMBANISHA MSANII WA BONGO FLEVOR NA TAARAB KWENYE KUNDI MOJA.
 
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba.

JK:
BA UDSM 1
Phd one of the US University 1
Phd Dodoma University 1
Phd Fatih University -Turkey 1
Phd MUCHS 1

Total 5

KaMA KUNA MINGINE MWENYE DATA ZAIDI AONGEZEE HAPA!

Pia kuna ile sijui degree ya heshima ya Masters :embarrassed:? aliyopewa na Maulid Kitenge ikulu
 
Nimesikia pale msikiti wa mtambani wanaandaa phd wampe. Jk- usizikatae chukua tu tuzipeleke kwenye guinness book. Wajinga ndo waliwao
 
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba.

JK:
BA UDSM 1
Phd one of the US University 1
Phd Dodoma University 1
Phd Fatih University -Turkey 1
Phd MUCHS 1

Total 5

KaMA KUNA MINGINE MWENYE DATA ZAIDI AONGEZEE HAPA!

Phd Makelele University 1
 
Nimesikia pale msikiti wa mtambani wanaandaa phd wampe. Jk- usizikatae chukua tu tuzipeleke kwenye guinness book. Wajinga ndo waliwao

hahaa msikiti wa mtambani nimecheka vibaya sana...napata picha siku wanamkabidhi ni pilau na wali mweupe kwenda mbele
 
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba.

I can simply say this is double standard kwa sababu Tunte alizipiga hakuzilazimisha na kuzingoja akiwa chumbani.

Hujasikia kuwa mchakato unaendelea Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kumwongezea???

Kwa idadi (sio kwa ubora) JK atamzidi Tunte maana vyuo vyote bongo watampa
 
Kaka umekosea nini mbona hatuoni MASTERS DEGREE yeyote kwenye list?

Mkuu El-Nino Masters haitolewi kama heshima.

Nadhani kuna haja wasomi (wahadhiri na wengineo) kukaa na kutafakari hizi zinazoitwa PhD za heshima.

Ni upuuzi mtupu wakati mwingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom