Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

Vijana wanatembea jiji zima wakiimba parapanda parapanda..ila inavyoonekana wanataka kuchakachua matokeo kwani hawajatangaza mpaka sasa...
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO Mikoa KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 
Kimeshaeleweka... Masha manyodo yake ndo yamponza kwa kuwatukana akina mama wa uwt mkoa wa mwanza.. Harafu kazi ya usuruhishi akapewa dialo.. Amewachanga kama karata... Wenje yuko juu hata kama uraia tutamtafutia.. Masha kwanza mlevi, anapenda mademu ile mbaya.. Akilewa tena anatoa siri za serikali.. Watu kama hawa hawafai kupewa madaraka..
 
Nashangaa kwanini bado hawajatangaza jimbo la nyamagana kwani iliishaeleweka tangia jana usiku kwamba Masha kapigwa chini na taarifa zilifuata baadae asubuhi kwamba Masha kapata BP na amelazwa Bugando. Watoe hayo matokeo wasifanye usanii!!!

Tiba
 
Taarifa zilizo toka Mwanza kuwa JK katua Mwanza sasa anaenda kuokoa jahazi ili kwa kuchakachua watu wa Mwanza leteni habari huko.
 
wewe hizo habari unmezipata wapi mbona mie niko huku na sijamwona huyo jk...lete habari zenye uhakika na sio story za kufikiria...am sorry to say so
 
Na after all JK hahitaji kuwa Mwanza ili kufanya hicho unachokidhania, He can be anywhere!
 
Hii haikubaliki, Masha akapigwa chini hata wafanyeje labda amtufutie viti maalum mshikaji wake
 
Kuna wenzetu wameshachangia kwamba JK tayari yuko Mwanza.
Taarifa zilizopo ni kweli yupo hapa na ameshaonyeshwa matokeo yote na jinsi Masha alivyoanguka Nyamagana na jinsi Anthony Diallo alivyoanguka Ilemela.

JK hakubali dhana ya kupoteza majimbo yote mawili hapo Mwanza mjini. Hivyo ameamua kushinikiza aheri lipotee jimbo moja.

Taarifa ambazo zimeshaenea kwa kila mmoja hapa Mwanza ni kwamba anamshinikiza mkurugenzi wa uchaguzi amtangaze Masha kama mshindi na Diallo atajijua.

Kaeni mkao wa kulielewa na kulifanyia kazi hilo.
 
Nashangaa kwanini bado hawajatangaza jimbo la nyamagana kwani iliishaeleweka tangia jana usiku kwamba Masha kapigwa chini na taarifa zilifuata baadae asubuhi kwamba Masha kapata BP na amelazwa Bugando. Watoe hayo matokeo wasifanye usanii!!!

Tiba

Busy wanachakachua lakini wajue kuwa itakuja ku-backfire kwao
 
Kuna wenzetu wameshachangia kwamba JK tayari yuko Mwanza.
Taarifa zilizopo ni kweli yupo hapa na ameshaonyeshwa matokeo yote na jinsi Masha alivyoanguka Nyamagana na jinsi Anthony Diallo alivyoanguka Ilemela.

JK hakubali dhana ya kupoteza majimbo yote mawili hapo Mwanza mjini. Hivyo ameamua kushinikiza aheri lipotee jimbo moja.

Taarifa ambazo zimeshaenea kwa kila mmoja hapa Mwanza ni kwamba anamshinikiza mkurugenzi wa uchaguzi amtangaze Masha kama mshindi na Diallo atajijua.

Kaeni mkao wa kulielewa na kulifanyia kazi hilo.
watanzania si mabwege tena
 
Back
Top Bottom