Jk nae aweka historia?9/12. Ni siku ya itiqaf maalum kupinga hotuba ya jk

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Wakati sisi tunaelekea uwanja wa taifa kufurahia uhuru na amani aliotuachia nyerere na kuendeleza kikwete .waislam wamepanga ni siku ya kukesha msikitini kumuombea JK kutokana na hotuba alioitoa siiku ya eid ambayo imewauzi waislam.tayari waislam mbali mbali kupitia taasisi zao zimeandaa dua hiyo
hii itakuwa mara 2 kwa kiongozi wa nchi kuingia katika malumbano hayo baada ya mrema kukaliwa itiqaf kama hiyo.

SOURCE: SAUTI YA WAISLAM (ANNUR)
 
crap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom