JK na Zawadi za Ukuu Wilaya

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
16,462
17,300
Kuna habari zisizo rasmi kuwa mjomba mkulu...amegawa kama pipi nafasi 4 za ukuu wilaya kwa vijana wake/ndugu wa karibu watoto wa kijiweni wa king'oko...kama 4 hivi....majina yao Husein Mohamed na wengineo....ana watupa Namtumbo na Tandahimba......habari zaidi zitafuata....
 
Soon utaulizwa source ya hii habari.
 
ndio maana tunataka katiba mpya ili kunusu pesa zetu wanazopeana ambazo zingestahili kutumika katika mambo ya ustawi wa jamii.
 
Back
Top Bottom