JK na wakuu wa wilaya wa vijiweni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na wakuu wa wilaya wa vijiweni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by adobe, May 11, 2012.

 1. a

  adobe JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Katika pita pita zangu kwenye listi ya wakuu wa Wilya nimegundua kuwa wengi wa walioteuliwa ni wale waliokosa uaminifu kwa jamii!!.Ni wale ambao jamii inayowazunguka haiwaamini.Mfano:-

  1.CRISPIN MEELA
  Huyu kule kwao walimnyima ubunge kwa sababu ya tabia yake ya majivuno na majigambo na mdomo mchafu,baada ya hapo na mwajiri wake pia alimtema ingawa saaana kwa sababu za kii--------------.Hebu fikiria mtu aliyekataliwa na ndugu zake waliomzaa na waliomlea na wanaomfahamu kuliko Wanyakyusa anaoenda kuwaongoza,this is a big WHY

  2.ROSE STAKI
  Huyu dada alikuwa mwajiriwa wa VETA,aliolewa na Familia ya kina Confort(sasa mumewe ni marehemu).Alifukuzwa kazi kwa sababu ya ufuska alokuwa anafanya na Bosi wake ambaye naye alifukuzwa kazi.Baada ya kufukuzwa kazi alikuwa anafanya kazi na Lediana Mung'ong'o (Mbunge) pale Iringa.Alivunja ndoa ya Kijana mmoja Nyagawa ambaye alimuoa binti mmoja Mwandishi wa gazeti la mwananchi.Kijana aliyemchukua ni mdogo sana kwake na hata kihadhi kwani ni mtunza bustani wa Tumaini University.Jamii inayomzunguka imemuonya tabia yake ya kuchukua waume za watu bila mafanikio.Je, huko wilayani ni wanaume wangapi atawavunjia ndoa.!!!!!!!!!!!!????????????????????????? Huyu binti ni mtoto wa aliyekuwa Mwenyeki wa Magamba Miaka ya 90+

  Hawa ni baadhi tu wa wateuliwa wa rais walotoka vijiweni ambao taarifa zao si nzuri na hawatakiwi na jamii zao huko watokako,

  Enyi watanzania mloletewa hawa watu wakataeni na ninyi.
   
 2. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tumechoshwa sana serikari ya magamba,ambayo kila leo inaonyesha udhaifu mkubwa.Maamuzi yetu yatatimia kwenye sanduku la kura pindi mda utakapofika.
   
 3. a

  annalolo JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakweli ni aibu kubwa kwa hii serikali ya kishikaji.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo madhara ya hii katiba inayotoa nafasi kwa rais kuteua asilimia kubwa viongozi nadhani katiba ijayo isitoe nafasi kama hizi ili mamluki wasipate nafasi tena
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kumbuka hata hiyo tume inayoenda kuhesabu kura yako imeteuliwa na unaemkataa! Tafakari chukua hatua kabla ya hiyo kura yako utakayopiga
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani anae wateuwa anaangalia vigezo ama ni fadhila tu?
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kuna mwingine anaitwa Aman Mwinigoha (spelling mtanisaidia). Huyu alitimuliwa kazi kanisa la kkkt kwa tuhuma za ubadhirifu na ufisadi mkubwa. Akaenda kugombea ubunge kupitia chama cha mafisadi akapigwa chini. Naona mkulu amempandisha juu!!
  Inaonekana Mkuu wa kaya ameona hatumtaki akaamua kugawana na wenzie kilichobaki hadi amalize muda wake! Ni dharau ya hali ya juu anayotufanyia watz kwa kutuletea watu tuliowakataa tena wengine kwa tuhuma mbalimbali kuja kutuongoza. Ni dharau kubwa sana!
   
 8. a

  adobe JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Upuuuuuzi mtupu kutuletea wahuni kutuharibia dada zetu na kaka zetu
   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ufumbuzi wa hili ni kufuta cheo cha DC na RC
   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Baba nina demu wangu....! Kwahiyo,
  nataka umpe kazi!....
  Haya mlete tu!
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sijakuelewa
   
 12. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Yeye pia wa kijiwenu...... Wewe uliona wapi mkuu wakaya anatoka nje bila ulinzi kwenda kwenye hoteli mija kut..... na wanawake? Kachagua watu wa level yake.
   
 13. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni wakuu wa wilaya gani hao uliowataja?
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kuna huo mtambo unaitwa Josephine Matiro daaah.....
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  3. JOHN HENJEWELE
  Ana kesi ya jinai ya kumpiga na kumjeruhi dada yake wakigombea mali ya urithi.
   
 16. t

  testa JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Venance Mwamoto mzee wa vijiweni
   
 17. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Slaa Nae si kabeba mke wamtu au!.
   
 18. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yuko na Kwangw naye alitemwa ubunge pia Charles Mlingwa naye alitemwa
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna wakuu wa wilaya zaidi ya 200 sidhani kama Rais anawajua hao wote..sana sana analetewa majina na advisers wake yeye anateua tu so kama mtu ana maskendo yake ya zamani sio rahisi kwa Rais kuyafahamu, Rais hawezi kuanza kumchambua mmoja baada ya mwingine hana huo muda na kwanza sio kazi yake hawa wenye hiyo kazi ya kuchambua na kujua yupi anafaa na yupi hafai ndio wanaomuangusha Mzee..vitu vingine jamani sio kosa la Rais...
   
 20. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Magamba kwisha habari yenu hamtakiwi tanzania
   
Loading...