Jk na uteuzi wa wabunge.

Rugaijamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2010
2,942
1,294
JK amewateua wabunge 3 kati ya 10 aliyopewa kikatiba.Ktk uteuzi huo yumo shamsi vuai nahodha na zakia meghji.SOURCE tbc taifa.
 
JK Hawezi kumwacha mama mkwe bila ulaji pamoja na madudu aliyoyafanya huko nyuma. Hivi alishalipa mahali? au ndo hayo malipo? Nani kama mama mkwe?
 
mama mkweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kweli maisha bora kwa kila mwanamtandao.Wako wapi wale waliokuw wamlnajiita wanaccm vindakindaki wakati wa kampeni za uchaguzi.Naomba mjitokeze nyinyi mliosema mnaijua CCM zaidi.Wapo wenye CCM ndo hawa wanapewa nafasi za kulia.Na wengine wanakuja kudadadeki.Dr Slaa kawatafunia mmeshindwa kumeza.Sasa tujiandae kupigika miaka mingine mitano wakati wengine wanakula.Tumeyataka wenyewe.CCM ina wenyewe bwana.
NAWASILISHA KWA HUZUNI.
 
Jamani nieleweshe kama Katiba ya Jamhuri ya muungano TZ hapa haijachezewa!!!! Hivi huyu Samsi Nahodha si ni mbunge tayari wa baraza la Wawakilishi?Iitakuwaje sasa awahudumie waliomchakugua huko Zenj wakati amepewa uwaziri wa Tanganyika?
 
JK Hawezi kumwacha mama mkwe bila ulaji pamoja na madudu aliyoyafanya huko nyuma. Hivi alishalipa mahali? au ndo hayo malipo? Nani kama mama mkwe?

Mhe. Kiti,
Hebu tuhabarishe zaidi. Mama mkwe kivipi? Unataka kutuambia JK kaoa kabinti ka Zakhia Meghji kama nyumba ndogo au Salma ni binti wa Zakhia?
 
Kumbe ndio maana Dr. Shein alimwacha Nahodha kwenye baraza lake - anaandaliwa ulaji serikali ya muungano!
 
Hakuna bwana Nahodha ni kijana ukichanganya na kina mwinyi.. wanataka kuwe na wazanzibari strong kidogo, vijana but not radicals (so they can control them) ili muungano uwe cosmetic zaidi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom