JK na Ufunguzi wa tawi la TIB Mlimani CIty

Igabiro

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
242
27
Je kuna umuhimu gani kwa rais wa nchi kufungua tawi la benki? mie nadhani aghalabu hiyo kazi angeifanya waziri wa fedha.....Labda ingekuwa ni muhimu kwa rais kama angekuwa anafungua benki kamili na sio tawi.
 
hana kazi za kufanya ..hata usije kushangaa anafungua madrasa
 
Ilikuwa ni zaidi ya ufunguzi wa tawi benk inatimiza miaka 40 na inabadili mfumo wake.so akuwa pale kwa moja.myongemnyongeni lakini haki yake mpeni
 
Ni kubadili mfumo na uendeshaji wa benk ile....na kwa kuwa tawi la mlimani jipya akaunganishia....issue wanataka iwe banki maendeleo na wakulima wapate dirisha lao...kukopea mikopo mirefu pale!!!
 
Ilikuwa ni zaidi ya ufunguzi wa tawi benk inatimiza miaka 40 na inabadili mfumo wake.so akuwa pale kwa moja.myongemnyongeni lakini haki yake mpeni

Chipukizi, Huu ni mwanzo wa utawala wa miaka mitano mingine wa JK. Ni wazi kuwa bado ana mambo mengi ya kufanya na kupanga. Kufungua Tawi la Benki hata kama linatimiza miaka MIA is non-issue. Mkuu should be very BZ kuuhakikisha Maisha bora kwa kila mtanzania and not doing what can b done by Waziri wa Fedha, Bwana!


 
Back
Top Bottom