JK na simu ya mkononi

Duh ha ha kwahiyo hata hela asibebe? hamchelewi kusema hata salary asipewe, maana hatumuoni viti virefu na kwenye gahawa.

Kwenye official events zote huwa habebi pesa (kiofisi) bali hubebewa na wasaidizi wake.
 
Hivi mkuu wa nchi kutembea na simu ya mkononi hata kwenye official events huku anajibu au kupiga simu au anapokea ujumbe ni sawa?
nadhani tumpongeze kwa hilo kwa kuweza kujiweka katika mazingira ya kusikiliza matatizo ya wananchi kupitia njia zote za mawasiliano
 
Kwa Rais inayeigiza hata mimi naona hakuna ubaya,Lakini kwa Rais makini hawezi kuwa na simu wakati yuko kwenye issue muhimu.Nafikiri hapa watu wanachanganya Rais na JK kama ni kitu kimoja wakati wote,Kama kuna official event nafikiri anawasaidizi lukuki wa kuhandle official matters...Inabidi ajifunze nidhamu.Uhalali wa jambo hautokani na Obama kufanya hivyo au mwingine yeyote.Tukumbuke Rais ni Taasisi
 
Enny karibu sana JF. Je hiyo mada inahusu nini? Vinginevyo wasiliana na JF Adminisrator bofya kwenye sehemu yake longa nae. Jisikie uko JF.
 
hatukatai kuwa na simu
lakini anapokuwa kwenye kikao au mahali flani anahutubia then akapigiwa sim na kupokea ni ukosefu wa adabu!!!!

ana wasaidizi wake bwana!!
 
Kwa Rais inayeigiza hata mimi naona hakuna ubaya,Lakini kwa Rais makini hawezi kuwa na simu wakati yuko kwenye issue muhimu.Nafikiri hapa watu wanachanganya Rais JK kama ni kitu kimoja wakati wote,Kama kuna official event nafikiri anawasaidizi lukuki wa kuhandle official matters...Inabidi ajifunze nidhamu.Uhalali wa jambo hautokani na Obama kufanya hivyo au mwingine yeyote.Tukumbuke Rais ni Taasisi



HINI!
Nakushukuru sana kwa kuona hilo! This thread ni marudio! I once said na napenda kurudia the president is not serious!! Nyie hamtaki kukubali!!

I MEAN the President in the person of jakaya mrisho kikwete and the institution ilyoko directly chini yake IKULU!! Hata protocol ya kawaida haifuatwi!! Rais Makini huwa hatishii watu wazima nyau anatoa amri na anafutilia zitekelezwe period!
You can't give time out wenye viwanda vya chuma akina Subash Patel muda wa kujiheshimu wakati wamenunua vyuma chakavu mpaka wakavua mataruma ya Reli Simply wapeleke detenntion for uhujumu uchumi acha blablah kwenye majukwaa!!
 
Hakuna ubaya wowote kwa Jk kuwa na simu yake. Kama Obama anasimu yake masaa 24 na ni rais ambaye anatakiwa ulinzi tosha, itakuwa Huyo Jk wa developing country.

Obama ana BLACKBERRY sio "kimeo"
 
jamani hoja sio kubeba simu, hoja ni kupokea na kupiga kwenye official events. mi nadhani si sawa maana inakufanya uonekane umeidharau hiyo official event.

so kama anabeba na kuitumia wakati ambapo hayuko kwenye official events, sidhani kama inakatazwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom