Hivi mkuu wa nchi kutembea na simu ya mkononi hata kwenye official events huku anajibu au kupiga simu au anapokea ujumbe ni sawa?
Mie sidhani kama kuna ubaya lakini kiutaratibu kuna wapambe/walinzi wake ndio wanatakiwa kuzibeba na kumpelekea mkuu ujumbe au kilichojiri toka kwenye kilongalonga chake na sio yeye kuibeba mfukoni mwake. Na sio kamba yupo kwenye shughuli fulani ya kitaifa kilonga longa chake kikiita apokee halafu awasiliane na mpigaji wa hiyo simu.Hivi mkuu wa nchi kutembea na simu ya mkononi hata kwenye official events huku anajibu au kupiga simu au anapokea ujumbe ni sawa?
Mie sidhani kama kuna ubaya lakini kiutaratibu kuna wapambe/walinzi wake ndio wanatakiwa kuzibeba na kumpelekea mkuu ujumbe au kilichojiri toka kwenye kilongalonga chake na sio yeye kuibeba mfukoni mwake. Na sio kamba yupo kwenye shughuli fulani ya kitaifa kilonga longa chake kikiita apokee halafu awasiliane na mpigaji wa hiyo simu.
nipatieni namba yake jamani......maana zile ajira million moja sijaziona kabisa.....