JK na Shahada za heshima

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
11_10_5hvsgv.jpg
 
Rais JK leo anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa katika mahafali ya kwanza yatakayo fanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma maarufu kama UDOM.....

Source: radio one

Mahafali haya ni ya kwanza je yanaumuhimu na uhalali wa kumpa mtu Shahada ya heshima kwa kuwa hayajawahi kuwa na mhitimu yeyote......???

HEEEE..... KWELI KAZI IMEANZA

WAMEFIKIRIA HILI

Nawasilisha
 
Mzoea vya kunyonga huyooooooooooooooooooooooooo.Hata hako kadigrii kamoja hapo UDSM alikapata kwa kudesa.
 
Mzoea vya kunyonga huyooooooooooooooooooooooooo.Hata hako kadigrii kamoja hapo UDSM alikapata kwa kudesa.

Wewe mbona uliishia darasa la saba hatusemi ? Badala ya kuandika 'freedom' unaandika 'fredom' kweli mwalimu wako wa kiingereza ndivyo alikufundisha hivyo ? rudi shule tafadhali elimu ya watu wazima
 
Mzoea vya kunyonga huyooooooooooooooooooooooooo.Hata hako kadigrii kamoja hapo UDSM alikapata kwa kudesa.

Mkuu FREDOMFIGHTER,kama uanvyo jiita,lakini sijuii una maanisha nini???kwani tatizo liko wapi??,sii Phd ya heshima,yeye kama raisi wa inchi amekwenda kufungua chuo kikuu kwa mara ya kwanza anapewa heshima yake........
 
mkuu shahada ya heshima inatolewa na chuo ambacho kimeshatoa shahada kama hiyo hiyo academically na siyo honorary ...... UDOM wameshatoa shahada ya udaktari wa falsafa before??????????????????
 
In life kama umepata kitu kwa kukivuji jasho huweza jisifu bse umehenya na kama ni dr na ulideserve huwezi jisifu.
JK ananijua ndo maana watu wanaambiwa wawe wanamwita Dr.
Hongera kwa utitiri wa hayo maphd ntashukuru kama utarudi darasani ukapate ya ukweli kama ya Magufuli na wengineo
 
Recipients of an honorary doctorate may if they wish adopt the title of "doctor". In many countries, including the United Kingdom, Australia, New Zealand, and the United States, it is now a matter of personal preference should an honorary doctor use the formal title of "doctor", regardless of the background circumstances for the award. Written communications where an honorary doctorate has been awarded may include the letters h.c. after the award to indicate the status.

Wikipedia quotation....
 
Wewe mbona uliishia darasa la saba hatusemi ? Badala ya kuandika 'freedom' unaandika 'fredom' kweli mwalimu wako wa kiingereza ndivyo alikufundisha hivyo ? rudi shule tafadhali elimu ya watu wazima

Mbona wewe unajiita Think Twice, lakini ukweli wenyewe we ni Think Once na Sink Twice.Mimi ni FREDOMFIGHTER, ila kuanza leo nakubatiza kwa jina la Ibilisi utaitwa FREEDOMFIGHTER.
 
Kwa mana hiyo hapo juu huyu ni h.c Kikwete na sio DR.

mimi nimeelewa hivyo
 
Anadhihirisha kwa umma kwamba UDOM ni CHUO CHA KATA. Profiles za wakuu wa UDOM ni muhimu kujulikana. Maana it sounds to me that being a Professor doesn't mean you're educated and so a think-tank. How comes these varsity elites depending on the crumbs of the hungry for power and prestige African Leaders, Tanzania be one of them. Ona REDET etc, these guys ain't professionals. Ziko wapi fikra za akina SHivji, Haroub Othman, Chachage, Baregu etc zile za education for revolutionary thinking? PhD inatolewa si kwa kuwa umeanzisha chuo fulani. Nyerere si angakuwa nazo na hata kutoka vyuo vinavyotoa diploma? Kuwa chuo kikuu and so qualify to award PhD haimaanishi uzitoe tu kama pipi. It's people with outstanding records and performance katika kazi zao na waliyoyafanya huko nyuma deserve to be awarded PhD. Mkwere does not deserve to be awarded hata certificate kama nayo ingekuwa ni HONORARY.
 
anapewa kwa ku heshima ya kukianzisha au kwa lipi? maana hawajawahi kutoa hata Phd moja tangu kianzishwe.
 
Mbona wewe unajiita Think Twice, lakini ukweli wenyewe we ni Think Once na Sink Twice.Mimi ni FREDOMFIGHTER, ila kuanza leo nakubatiza kwa jina la Ibilisi utaitwa FREEDOMFIGHTER.

Badilisha tu kijana jina lako , ulilikosea usione aibu kwani ndio malipo ya vilaza wanapokosea. Naomba kajiandikishe Elimu ya watu wazima inatolewa bureee
 
anapewa kwa ku heshima ya kukianzisha au kwa lipi? maana hawajawahi kutoa hata Phd moja tangu kianzishwe.

kwa heshma ya kuwapa ulaji Prof. Idris na watumishi wengine wa chuo ambao hapo kabla walikuwa wamefulia tu. wanamshukuru kwa kuokoa jahazi la maisha yao binafsi. siyo vinginevyo.
 
utingo....mkuu....hiyo ndio point yangu UDOM haijawahi toa Doctorate by profession...... inakuwaje ina mpa mtu Honorary Doctorate

nakosa jibu jamani nisaidieni hapa
 
Nafikiri wakati umefika aitwe professor ili akate kiu kabisa. Idd Amin alifikia level ya juu kabisa ya Prof. Field Marshal Idd

To be read by the Chancellor of UDOM

I hereby confer upon you (JK) the degree honoris causa in full recognition of how you rigged the elections in your own favour and thus in favour of all relatives and friends in the most corrupt government system. In the future, the UDOM looks forward to your favoratism and if that is done you will be upgraded to the proffesorial level. Congratulation Dr? Jakaya Mrisho Kikwete!
 
honorary doctorate ya falsafa

falsafa ipi jamani..... falsafa ya KANU ni nyayo.... huku kwetu ufisadi ndiyo falsafa ya nchi
 
Back
Top Bottom