JK na serikali yako maisha haya mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na serikali yako maisha haya mpaka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucchese DeCavalcante, Jan 17, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Wakati mwingine unaweza kusema maisha haya si ya kuwalaumu wanasiasa wetu tu, pengine tumuombe na Mungu atufungulie neema zake, kwani hali ya maisha ni ngumu sana kwa wanachi wengi wa vijijini na ile dhana ya maisha bora kwa 'kila Mtanzania' ni msemo ambao unapoteza maana kila kukicha. Mwangalie huyo bibi pichani juu, yumo ndani ya kijumba chake, ni asubuhi ameamka na kutafakari akiwa juu ya kijitanda chake, 'leo nitaishije,!
   

  Attached Files:

 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana ni muhimu sana kwa nchi kuwa na RAIS. Full stop
   
Loading...