JK na Serikali yake wamepanic?

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,199
4,198
Haya mambo yanayotokea,kumstopisha magufuli,kuwazodoa mawaziri hazarani wakati JK akitembelea wizara.,migogoro ndani ya jumuiya za CCM,JE NI DALILI YA SERIKALI KUPANIC? Naona kama serikali inajaribu kutafuta public sympathy kwa kujaribu hiki na kile...yaani inatafuta wapi pa kuwagusa wananchi..just a thought.
 
Inaitwa "fallacy of pity",though wanachemka kwa maana mambo yao yako spontenous
 
Inaitwa "fallacy of pity",though wanachemka kwa maana mambo yao yako spontenous
 
kiukweli ni kwamba kikwete na CCM wanatafuta pakufia kwani tayari mambo si shwari na kila mtu anajua kabisa kikwete nchi imemshinda na pia hana msimamo wala uwezo wa kukemea mabaya ya wasaidizi wake na hata huyo magufuli nae sio mtu safi kwani ni mafia na ameingia kwa mbinu nyingi chafu hivo basi tusitaraji hali shwari ndani CCm woote tunatambua kua Lowasa anataka urais pia Membe nae anautaka pia Sumaye yupo katika mikakati ya kuingia ikulu kundi la wabeba ufisadi nalo linatumia kila njia kuhakikisha wanawachanganya watu ili waendeleze azma yao ya kuliibia taifa na kuuza rasilimali zoote. tujipange vizuri ili 2015 moto uwake na sasa Tuanza kuchimba kaburi la CCM asanteni nawasilisha
 
Kutokana na kauli za JK za sasa ni dhahili anafanya kila anachoweza ili kujaribu kuwahadaa wananchi wa kawaida ya kuwa yuko upande wao. Hata hivyo mbinu hiyo haiwezi kufanikiwa bila yakufanya mageuzi makubwa katika sera zake za uchumi ambazo ndizo zinazozidi kuwanufaisha watu wachache sana. na kudidimiza umma wa watanzania wengi katika dimbwi la umasikini wa kutupwa.
 
kiukweli ni kwamba kikwete na CCM wanatafuta pakufia kwani tayari mambo si shwari na kila mtu anajua kabisa kikwete nchi imemshinda na pia hana msimamo wala uwezo wa kukemea mabaya ya wasaidizi wake na hata huyo magufuli nae sio mtu safi kwani ni mafia na ameingia kwa mbinu nyingi chafu hivo basi tusitaraji hali shwari ndani CCm woote tunatambua kua Lowasa anataka urais pia Membe nae anautaka pia Sumaye yupo katika mikakati ya kuingia ikulu kundi la wabeba ufisadi nalo linatumia kila njia kuhakikisha wanawachanganya watu ili waendeleze azma yao ya kuliibia taifa na kuuza rasilimali zoote. tujipange vizuri ili 2015 moto uwake na sasa Tuanza kuchimba kaburi la CCM asanteni nawasilisha

Katika hili la ugombea wa uraisi kupitia CCM 2015,moto utawaka.nani atamdhibiti mwingne? nyerere atakumbukwa mwaka huo.maana ni kama hakuna kiranja,wote wako level..nguvu ya pesa ndo itaongea..
 
Wakuu kabla ya 2013 Tanzania tuitakayo itakua bayana nakwajinsi hawa jamaa walivyo poteza kauli moja yaani itakua kiulaiini hadi basi.Wakuu wapo watu walisababishiwa mavidonda nakubwa 2005 na sasa wameyaziba tu na bandeg wakiyazibua hakuna wa kuyatazama ,maumivu aliyo sababishiwa Salim,Sumaye nawengine ukija jumlisha na mbwembwe za kina Lowasa hapata tosha.Uhakika ninao Chadema 2015 mpira kati na hata Kikwete anajua hili ndio maana na yeye anajitahidi kujiosha kwenye maji machafu yaani anaona kuwakosoa mawaziri wake hadharani inamuoshea kumbe ndio anadhihirisha ukilaza wake.
 
The guy is a populist period; he thinks he is in a beauty contest!!
 
Katika hili la ugombea wa uraisi kupitia CCM 2015,moto utawaka.nani atamdhibiti mwingne? nyerere atakumbukwa mwaka huo.maana ni kama hakuna kiranja,wote wako level..nguvu ya pesa ndo itaongea..

Mambo yataanzia kwenye uchaguzi wa chama mwakani. Hapo ndo mbivu na mbichi zitajulikana. Tutajua kama CCM imeweza kujivua gamba au la.
 
Back
Top Bottom