JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Aug 4, 2012.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK .Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu unazimanage vipi thread zote? We kweli kiboko aisee!
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Ha ha ah Mkuu Ulikuwa wapi wakati akina Shukuru Kawambwa wanagawana Kasungura ka Terminal Three hao ndio CCM bana bwaha ha ha aaa
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenishitua sana kumtaja SK .Huyu jamaa kumbe ni wembe usio na makali wala haraka ? Mie nimeshangaa kusikia habari hii kwamba mfadhili kashituka wakati pesa watu wamesha hamisha .
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kila wakati nikipita pale najiulizaga lini wataweka terminal 3 papendeze kumbe watu washagawana pesa...
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Utangoja Mirere na Utakufa Bila Kerere kama Wafuasi wa Kibwtere Mboooongoooo Mbongo Dar es Salaaam
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Jamani wa dsm! Iyo trm 3 ilikuwa ijengwe wapi sie wengine tupo nje na mkoa huo! All in all laana iwaangukie mafisadi wote wa mradi!
   
 8. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu ibariki Tanzania!
   
 9. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu habari hii ni tamu ila nadhani ingekuwa vizuri ukatuwekea japo hizo bank transfers papers au MOU za kugawana huo 'umatemate' wa terminal 3. hiyo ingeleta heshima sana kwa jukwaa letu.

  unajua ukishamtaja mkuu wa kaya kwa tuhuma kubwaa hivi halafu hutoi vielelezo, heshima ya JF inakuwa mashakani.
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu hakuna ushahidi zaidi ya ukweli kwamba hakuna ujenzi na hakuna pesa na hata katika bajati hujasikia hilo kutajwa sasa ushahidi gani ?
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hili jambo lilikwepo humu muda kidogo. Ninachojua hawa wafadhili wa kichina walitaka na dili za Uranium, zilivyogoma wakapull plug zote.
   
 12. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watu watu wa jf kwa uwongo wamefuzu, ukweli unaachwa pembeni, ila siasa za uwongo, sijui lini tutatoka hukn!
   
 13. Machiavelli

  Machiavelli Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkigoma

  Tafadhali omba msamaha kwa Lunyungu! Au na wewe ni mpambe wa Riz1? Maana wale wachina wanadai VX Land Cruiser mpaka leo!! Dogo deal alishindwa ku-deliever unabisha nini? Usindandie treni kwa mbele uliza facts watu watamwaga and that is the bottom line!
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  People who feed on rumour mongering!
   
 15. m

  mharakati JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya majina ya mwakyembe na Jk yametoka wapi tena na hili terminal 3? ukweli ni kua mkataba ulisainiwa na serikali ya china huko china na kampuni ikachaguliwa kuja kuanza ujenzi. Sasa kama kawaida fat cats wawili watatu wakauliza chetu kiko wapi?( ufisadi wa tanzania hata katibu kata anaweza chukua chake bila ya mwenyekiti wake kujua). wajenzi wakasema sisi hatujui kama kuna makubaliano binafsi, sisi tuko hapa kujenga tu, fat cats wakaona isiwe shida project ikasimamishwa. Hapa sidhani kama SK,Jk etc wanahusika na lolote zaidi ya wachache waliokua wanasimamia mradi kudai kampuni haina uwezo ije nyingine na mkataba ule kuvunjwa
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii ndo Tanganyika last time kulikuwa na uzio wa mabati itabidi nayo tuanze kugawana
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  HIVI kweli hawa VIONGOZI wa Jakaya Kikwete wana UCHUNGU na NCHI? Wakati wanajenga Terminal 2 Nyerere Pamoja

  Na Ujamaa aliweka zabuni na kampuni ya KIFARANSA ikashinda wakajenga TERMNAL 2; MPAKA leo Tunayo na ni JENGO

  BORA ni sisi Waafrika hatujui Utunzaji...

  Sasa Terminal 3 nani alikuwa Mzabuni? Usiniambie walichagua contractor MBONGO kama wa KIWANJA CHA NDEGE CHA

  MBEYA... AMBACHO HAUJUI were is the terminal... Just the run-way...

  WEZI WEZI... MTASHIKWA... SIKU ZENU NI AROBAINI...
   
 18. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Source: Taarifa za kiintelejensia za Marando wa Manji
   
Loading...