Mutu Ya Watu!View attachment 453629
Picha imeeleza yote
Ahahaha, Salma Pendeza Sana!Hahaaaaa, wamebadilishana sweta eeh.
Alafu hapo Harmonize kasimama ktk stuli au maana nijuavyo jk ni tolu ila harmonize wa kawaida.
Naona picha inaujumbe tofauti na mada.hapo kuna harmonize na ya chini ni Diamond Platnumz
Ziangalie picha kwa umakini zaidi.Kivipi?dadavua
picha inaonyesha mama salma na jk wamevaa sweta moja kwenye picha tofauti, inawezekana halipo moja kila mtu ana lake na inawezekana pia wanavaliana kwa wanandoa hilo ni jambo la upendo sana.Ziangalie picha kwa umakini zaidi.
ila salma kazeeka ghalfa
Ni mfano mzuri hawa watu, siyo kama vichaa wengine inayoshinda inapiga mangumi mke.View attachment 453629
Picha imeeleza yote, nani kavaa sweta la mwenzake?