JK na Mafisadi watatumaliza

tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Ni mara nyingi nimesikia hata hapa JF kwamba JK ni mtu wa visasi.

Kama ni kweli miye naamini sasa ndiyo tutakoma. Kwa kuwa hatukuwapigia kura jamaa na mafisadi ndiyo watatukomoa kwa hali ngumu ya maisha wakati wao wanakula 'kuku kwa bomba'.

Je nini suluhisho la maisha ya mtanzania? Sanduku la kura naamini kwa katiba tuliyonayo si jibu.

Katiba mpya ni kama ndoto maana kwa JK na mafisadi ni sawa na kusema jitundike kamba mwenyewe au chimba kaburi lako.

Peoples power.............what is the solution?

Miye nimejitahidi kufanya kazi kwa nguvu na akili kwa muda but nimechoka maana kile kidogo unachopata kinachukuliwa na mafisadi kupitia richmond, dowans, ....

Great thinkers.......let us think of a solution to this hell.

Nawatakia heri ya mwaka mpya. Amani ya Mungu Mwenye enzi iwe nanyi nyote.
 
Mkuu,

Sio watatumaliza, washatumaliza..

Tatizo ni ukondoo wa umma wa Tanzania.

Sasa ukondoo wa umma unaondoshwaje? Kama una jawabu hapa...basi solution ipo hapo.
 
Peoples power.............what is the solution?

Miye nimejitahidi kufanya kazi kwa nguvu na akili kwa muda but nimechoka maana kile kidogo unachopata kinachukuliwa na mafisadi kupitia richmond, dowans, ....

Mkuu,

Jifanyie tathmini ya maisha yako kwa kuangalia hii. Sina maana uamini kila unaloliona.

[video=google;7065205277695921912]http://video.google.com/videoplay?docid=7065205277695921912#[/video]
 
Na bado, mimi nataka hii hali ya ugumu iongezeke hata mara alfu, wabongo vichwa ngumu kuelewa, wacha watuchune tu mpaka tubaki mifupa mitupu, si mlikimbilia kapelo na pilau za mafisadi nyie? Sasa mkae kimyaaaaaaaaaaa kama mnakunya.
 
Naamini watu wengi 2010 walijitahidi kuleta changamoto na mabadiliko lakini system iko ovyo. uchakachuzi mtupu
 
Back
Top Bottom