JK na maadhimisho ya miaka 12 ya kifo cha Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na maadhimisho ya miaka 12 ya kifo cha Nyerere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Oct 15, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu muu hali gaani? Ningependa kujuwa jk alikuwa wapi wakati huu wa kuadhimisha death day ya mwasisi wa taifa letu na kipenzi cha wengi kwani ktk fuatilia yangu ya vyombo mbalimbali vya habari sijabahatika kumsikia wala kumwona akisungumzia kuhusu baba wa taifa, je ni kwamba yupo nje? Au najificha asijekujikosoa ktk maovu yake
  nawakilisha
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani alikuwa Ikulu asikikiliza Bongoflava
   
 3. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  nami nilisikitishwa baada ya kushangazwa. Mbona anao muda wa kupiga picha hata na 50 Cent ama kutazama mamiss...anahudhuria hadi misiba imekuwaje kakosa muda wa kwenda Butiama? Ni fedheha!
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Binafsi nilistaajabishwa katika hili, itabidi Ikulu watoe press release juu ya kwanini mkulu hakuwepo/hakuhudhuria wala kutoa nasaha katika kumuomboleza baba wa taifa kufikia miaka 12 ya kifo chake.
  Yastaajabisha!
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi mlitarajia aseme nini? Wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kama hauna la kusema.
  Kama kuna aliyewahi kutembelea Face Book account yake atakuwa alikutana na kauli yake kuhusiana na siku hiyo
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  JK hata siku moja hamkubali baba wa Taifa kwa aliyoyafanya hapa TZZZ
   
Loading...