JK: na idara hii ya Rostam uliikumbuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: na idara hii ya Rostam uliikumbuka?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 5, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,886
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Source: UWAZI
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Utashangaa watapita kwa kishindo majimboni kwao
   
 3. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 4,791
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  :hand:hawa wanaelewana na mawaziri hivyo hamna haja wao kuongea watapelekewa maendeleo
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  labda wachapakazi kwa njia yetu Ileeeee aaah mi sipendi kuita watu mafisadi bwana siyo jina zuri
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  1. Huyu wa kushoto ni Waziri hivo hawezi kuongeaongea
  2. Huyu wakati alisusa kuongea baada ya kutimuliwa kazi
  3. Huyu wa kulia yupoyupo tu....anaangalia maslahi yake binafsi zaidi....haoni umuhimu wa kutetea shida za wapiga kura wake kwa kuwa akitaka kufanya hivyo anamwamrisha mkuu wa nchi tu....
   
Loading...