JK na happy birthday ya mama salma

yaani huyo ndo president ,,mchana kupokea mwendesha baiskeli wa Geita ,usiku birthday ya mama kafikisha miaka 47..hivi huyu anawaza kufanya kazi kweli huyu
 
Happy birthday Mama Salma...,
may you live to be 100.

nina hamu na hio cake...:hungry::hungry::hungry::hungry:
 
yaani huyo ndo president ,,mchana kupokea mwendesha baiskeli wa Geita ,usiku birthday ya mama kafikisha miaka 47..hivi huyu anawaza kufanya kazi kweli huyu

wewe vipi!akiwa raisi ndio asifanye hata birthday ya mkewe?au unataka wanaume wa nje ndio wamfanyie?kwa vile ni raisi asiwe hata na muda wa kucheka na mkewe jamani?
 
attachment.php

Mama anawakawaka nywele zimependeza, ila mkuu kama kachoka usoni kidogo baada ya kampeni nzito kwa miezi mitatu na mpaka sasa hajapumzika kabisa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom