JK na EMANUEL LUHAHULA wana mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya KIGOSI wilayani BUKOMBE

NG'OMBE

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
362
80
Ndugu watanzania naomba mjue viongozi wetu walivyo wezi, jk na aliyekuwa mbunge wa bukombe (2005-2010) wanamiliki mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Taifa ya KIGOSI kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke katika hifadhi hii kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.
 
Toa ufafanuzi wa kutosha wenye ushahidi, hata hivyo mi sioni ajabu kulingana na watu uliowataja kama waliweza dowans na richmond hata hapo wanaweza but we need the fact of your info...
 
Ndugu watanzania naomba mjue viongozi wetu walivyo wezi, jk na aliyekuwa mbunge wa bukombe (2005-2010) wanamiliki mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Taifa ya KIGOSI kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke katika hifadhi hii kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.

huo mgodi unajina; na unajuaje kuwa JK na huyo mbunge ni wabia?
 
Toba Wa-Tanzania tunavyochunwa kushoto kulia kama shamba la bibi kweli!!!!

Yaani, Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete naye ndani ya wizi wa rasilmali za taifa; safari hii bila kujali kujificha zaidi nyuma ya mafisadi sugu akina Rostam Aziz na Edward Lowassa??????????

Eeehh, habari zaidi ....????
 
Ng'ombe hebu ni Pm namba tufuatilie kwa umakini. Nitakuwa Kahama j4 toka Mwanza kutafuta ushahidi. Hakuna kulala
 
Toba Wa-Tanzania tunavyochunwa kushoto kulia kama shamba la bibi kweli!!!!

Yaani, Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete naye ndani ya wizi wa rasilmali za taifa; safari hii bila kujali kujificha zaidi nyuma ya mafisadi sugu akina Rostam Aziz na Edward Lowassa??????????

Eeehh, habari zaidi ....????

naomba nikusahihishe kidogo mkuu,,, kikwete huo u-ALHAJI aliupata lini?? Hajawai kwenda hija hata siku moja, huwa anatoa misaada mingi sana ya waislam wenzake wakitaka kwenda hija, lakini yeye hajawai kukanyaga huko,,, anaweza asirudi kwa madhambi aliyonayo ya kuwaibia wananchi,,ile ni sehemu tukufu, sio sehemu ya kwenda kiholela
 
Duh!! Mzee sina mbavu ...!!!!!

Au amewahi hata kuwaza tu kwenda huko ndio maana kila mara 'kama vile' mara kule Jangani, siku nyingine usikie Mwanza na wasaidizi wake kutufahamisha kwamba kwa pale Magogoni ndio usiombe eeehhh????
 
ndo maana yake kaka,,,,,hawezi kwenda...hata iweje,,,
 
Ngo'mbe ina maana huu mgodi umeanza kumilikiwa na Jk juzi?swali langu ni kuwa kwanini shutuma hizi zinakuja leo?inawezekana ulikuwa unakusanya data na sasa umekamilisha kazi, ziweke jamvini.
 
naomba nikusahihishe kidogo mkuu,,, kikwete huo u-ALHAJI aliupata lini?? Hajawai kwenda hija hata siku moja, huwa anatoa misaada mingi sana ya waislam wenzake wakitaka kwenda hija, lakini yeye hajawai kukanyaga huko,,, anaweza asirudi kwa madhambi aliyonayo ya kuwaibia wananchi,,ile ni sehemu tukufu, sio sehemu ya kwenda kiholela

Kwa mimi wala sishangai,kwani huo udokta wake kausomea wapi???
 
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi

Sema lingine mazee lakini hatuwezi kupima uzalendo wa kiongozi,kisa hasomeshi watoto zake nje.Watoto wanaweza soma ndani lakini wakapewa privileges,ambazo mtoto wa mkulima hawezi akazipata
 
Ngo'mbe ina maana huu mgodi umeanza kumilikiwa na Jk juzi?swali langu ni kuwa kwanini shutuma hizi zinakuja leo?inawezekana ulikuwa unakusanya data na sasa umekamilisha kazi, ziweke jamvini.

Huu si mgodi rasmi, ni machimbo ya wachimbaji wa kawaida, ni kweli upo ndani ya hifadhi na ninavyojua askari wa maliasili wamekuwa wakichimba na kujinufaisha wao, ulianza toka 1985 sema umejulikana zaidi miaka ya 1997 kaam sikosei na watu wamekuwa wakikamatwa sana na askari wa maliasili na wengine wamekuwa wakichimba kwa kuwalipa hela askari hao. Ila kama hivi karibuni JK amejimilikisha ni vyema ukaweka DATA mzee.
 
Ng'ombe yupo jamani? au bado anaangaika ku-upload data! lete hata jina la kampuni ili tuongeze mashambulizi.
 
Safari hii yote yaliofichama uvunguni yote yatawekwa mezani mchana kweupe; habari zaidi mbona tutazichimba tu hapa!!
 
Back
Top Bottom