JK na CCM wameonyesha sura zao halisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na CCM wameonyesha sura zao halisi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kalunguine, Oct 31, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Vituko katika kampeni za CCM na JK, vimehusisha uchochezi wa sms ambapo wamiliki wa simu walipata messages za uchochezi bila ridhaa yao. Pia CCM na timu ya JK walijikita katika kampeni za udini kinyume na matarajio ya wananchi wa Tanzania ambao wanathamini umoja wa kitaifa kama ulivyojengwa na baba wa taifa. Vituko vingine ni vitisho vya jeshi, Shehe Yahaya kutoa vitisho vya vifo vya watu watakaogombea na JK, kuwa atakayegombea na JK atakufa ghafla. Kama hii haitoshi kampeni za CCM na JK zilijikita kuwatisha wananchi ili kuwasingizia vyama vya upinzani kuwa ni waleta vita wakati havina jeshi, polisi wala green guard kama CCM. Kwa ujumla CCM na JK wameonyesha sura zao halisi kuwa hawana chembe hata kidogo ya kujali masilahi ya Tanzania na wananchi. Hata kama taifa linaangamia kwa misuguano ya udini si kitu kwao ilimradi wanajitahidi kutumia kila mbinu zisizofaa kujaribu kupata madaraka. Hii ndiyo sura halisi ya JK na CCM.
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Noted!
   
Loading...