Elections 2010 JK na baraza jipya la mawaziri

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao.

Waziri mkuu - Mark Mwandosya
Fedha - Mustapha Nkulo
Nje - Bernard Membe
Ndani - January Makamba
Madini - John Magufuli
Utalii - Mizengo Pinda
Sheria - Haryson Mwakyembe
Viwanda - Anna Kilango
Nyumba/Makazi - Tibaijuka
Mifugo - Dr Titus Mlengea
 
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao.

Waziri mkuu - Mark Mwandosya
Fedha - Mustapha Nkulo
Nje - Bernard Membe
Ndani - January Makamba
Madini - John Magufuli
Utalii - Mizengo Pinda
Sheria - Haryson Mwakyembe
Viwanda - Anna Kilango
Nyumba/Makazi - Tibaijuka
Mifugo - Dr Titus Mlengea

bisha hodi wewe kwanza
 
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao.

Waziri mkuu - Mark Mwandosya
Fedha - Mustapha Nkulo
Nje - Bernard Membe
Ndani - January Makamba
Madini - John Magufuli
Utalii - Mizengo Pinda
Sheria - Haryson Mwakyembe
Viwanda - Anna Kilango
Nyumba/Makazi - Tibaijuka
Mifugo - Dr Titus Mlengea

Join Date: Sat Nov 2010 Posts 1 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power 0
 
Jakaya alishatuambia kuwa kwenye baraza lake la mawaziri wale wazee wa umri wake wasiwe na matumaini!! Sasa kwavile mnahulka ya kusahau basi hayo mliishayasahau. Hiyo list ya Peter Kings ni ndoto za alinacha ; huyo unayedhani atapata uwaziri mkuu hata uwaziri hapati safari hii!!
 
Eheee, waziri wa vurugu na majungu atakua nani??
 
Mark Mwandosya hawezi kuwa Waziri Mkuu. Sijui wewe ni mshauri wa namna gani? Ndugu Mwandosya ndiye aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano ile ajali spectacular ya treni ilipotokea Msalala,Dodoma.
Kikwete angeniombia mimi nimshauri kuchagua baraza la mawaziri,sijui kama ningeweza,kwani siwafahamu kabisa hawa wabunge. Pale katika orodha ya wabunge namfahamu Mussa Azan Zungu tu,kwa vile alikuwa school mate Tambaza.
Lakini nimeuliza kwa watu tofauti,kuhusu nani anafaa achaguliwe kuwa Waziri,yaani katika kuleta sura mpya katika Cabinet. Hakuna sababu sana ya kuwataja wabunge mashuhuri maka Anna Tibaijuka au Anne Malecela. Hao kazi yao inajulikana na Watanzania. Hao watu wengi wanategemea kuwaona katika Cabinet ijayo. Kama tunaoongelea kuhusu star search,talent hunting,talent spotting. Ukiwauliza watu wanaowafahamu baadhi ya wabunge wakushauri,wanakushauri kwa kutokana na kama wao ni marafiki na Mbunge,kwa hiyo hiyo inakuwa siyo njia scientific ya kumpata Waziri. Ina maana kwamba lazima upate ushauri kutoka kwa watu wengi.
Lakini nimeuliza kidogo kupata majina ya nani ambaye anaweza kuwa Waziri,na haya ndiyo majina niliyoyapata,
Telele wa Ngorongoro,Jenista Mhagama,Donald Max wa Geita Mjini,Mathayo Daudi wa Same Magharibi,Nyalandu wa Singida Kaskazini.
 
Join Date: Sat Nov 2010 Posts 1 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power 0

mwambie karibu,si kufika unaropoka,wote tulianza kwa kusikiliza waanzilishi,tukachangia mada wala si kuropoka.
 
Back
Top Bottom