JK, Mrema Lyatonga na Mzee Yusufu wa Jahazi Mjengoni!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
hapa kama anasema ......... 'Duh kweli nimemis sana raha za mjengoni...inji hii tamu
sana'!

Source: JIACHIE

mrema_kikwete_taarab.jpg
 
Presdential deal is No more,the issue is to Become member of parliament that is all.says:Augustine Lyatonga Mrema(MP) VUNJO.
 
Ashajifia kisiasa huyo mwacheni tu kwani yuko kimaslahi binafsi zaidi.
 
hapa kama anasema ......... 'Duh kweli nimemis sana raha za mjengoni...inji hii tamu
sana'!

Source: JIACHIE

mrema_kikwete_taarab.jpg

Nasikia Mzee wa Kiraracha aliomba wakumbatiane Jk akamnyanyapaa............sijui lakini picha kama inaonyesha hivyo!!
 
Du, mzee wa kiraracha kachoka kweli! Labda afya itakarabatika kidogo
 
jamani huyu mzee sasa mnataka kumwua kabla ya muda. Kwa nini amepewa majukumu magumu ya ubunge wakati afya imdedorora hivyo. Ilitakiwa sasa awe hospitali na siyo mjengoni. Watu wa Vunjo hammtendei haki kabisa huyu mzee
 
Angalau wamempa ubunge ile ajilipie matibabu vinginevyo ingebidi achangiwe
 
Ili atibiwe na bunge sio kulia njaa kwa serikali.....sasa atatibiwa kwa gharama za serikali kihalali....njaaa mbaya sanaa jamanii isikieni tu
 
Mrema si alimkapenia Kikwete, Kikwete alifanya juu chini ili Mrema ashinde ndo maana wakamuengua mbunge wa zamani
 
Back
Top Bottom