Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Sina hakika JK anajua ama kama kawaida tutasema kwamba JK ana nia njema ila mafisadi wanamzunguka lakini hata pale anapojua kwamba kazungukwa ataishia kuingia NEC na CC na kusema hakamatwi mtu wala kufukuzwa Chama lakini bado tuna imani kwamba JK ana nia njema juu ya kupambana na rushwa .
Mkandara Chuo kimemshinda na sasa sijajua Watanzania tutegemee nini baada ya Chuo kushindwa kufanya mambo muhimu kwa jina la kukosa pesa huku dowans wamekuwa wanapenda kwa kulipwa 152mn kwa siku.
Nimefika ofisini kwa Mkandara leo hii na kusikia mengi ila yalito nigusa ni kwamba Chuo kilipeleka bajeti na imekuwa approved nusu yake.Ile nusu ambayo serikali ilisema kwa maandiko kwamba inatoa Mkandara yeye kaleta ofisini nusu ya ile nusu na anasema Serikali haina pesa .
Kwa mwendo huo naomba ufikie mweneywe UD uulize uambiwe hakuna mwalimu kaenda ama ataenda kokote na hasa kwenye teaching practice japokuwa sasa wanafunzi wako field .
Mkandara kasababisha hata pesa za wafadhili zimekuwa shida maana wameshanga kuona kwamba pesa zile zime enda katika matumizi ya kawaida kwa nia ya kukopa na kulipa badaye kwa mategemeo yale yale ya kupewa pesa na serikali .
Nimejiuliza na sikupata majibu ya swali hili .Kuna malikimbikizo ambayo sasa yapo na pesa za walimu hawa zime enda kwenye mambo ya jumla ya Chuo na hawataenda popote .Je Mkandara wakisha lipa pesa hizi yeye atawalipa hawa watu ili waende huko wanako takiwa kuwa >
Baada ya kuonyesha shida sasa nauliza hatima ya Elimu kwenye Vyuo ama Chuo hicho iko mkononi kwa JK maana haya ni mauza uza yake .
Mengi nitasema baadaye kwa sasa nawapa hili .