njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,360
- 5,474
anatafuta pa kutokea tu huyo.
Atoke aelekee wapi...?
na hilo tamasha litapata hasara ya mwaka.
Was this suppose to be ur wish..?!! :lol: imekula kwako basi..
watu wenye akili timamu hawataenda
inamaana waandaji na o hawana akili timamu kwa kumualika Mh. Rais Dr. Jk..?
Anataka kujionesha kwamba yeye "si mdini," right?
na angekataa mualiko ungemuitaje...?