JK may become AU President!


Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,494
Likes
3,870
Points
280
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,494 3,870 280
JK may become AU President

2008-01-28 09:09:35
By Addis Ababa


President Jakaya Kikwete is due to travel to the Ethiopian capital, Addis Ababa, midweek for the African Union summit, amid hopes that the East Africa Region, particularly Tanzania, will this time around assume presidency of the key continental body.

Kikwete will join other AU Heads of State and Government for the tenth edition of the union`s ordinary session planned to kick off on Thursday this week.

Summit organizers have set January 31 to February 2, 2008, as dates for the gathering, believed to be the top political organ on the continent.

An AU statement issued here ahead of the Summit, said it was the turn of the Eastern Africa Region to produce the AU President and that Tanzania and Sudan have shown interest to vie for the seat.

The election of the African Union President is scheduled to take place on February 2.

However, the Eastern African Region needs to produce one candidate to be considered by the Summit.
�
Country members to the Eastern region are Tanzania, Sudan, Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia, Eritrea, Somalia, Djibouti, Mauritius Seychelles, Comoro and Madagascar.

This year`s summit, Industrial Development for Africa, is expected to be preceded by 12th ordinary session of the Executive Council Committee which comprises of Foreign Affairs Ministers from AU member countries from 27 to 29 January, 2008.

Tanzanian Minister for Foreign Affairs and international co-operation, Bernard Membe, Minister for Industry, Trade and Marketing, Basil Mramba and the Zanzibar Minister for Tourism, Industry and Economic Empowerment, Samia Suluhu Hassan, are expected to join Kikwete at the summit.

SOURCE: Guardian
 
F

FDR Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
249
Likes
4
Points
0
F

FDR Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
249 4 0
Ukimuondoa Kagame anayeshauriwa na Tony Blair hapo I think JK is the right Candidate for the time being. Let him pick the jack pot.
Bravo Comrade Jakaya Mrisho Kikwete,honestly we do pray for u hata kama nchi ina mambo mengi yanayokutaka uyashughulikie ,ni kipindi kizuri kwani next year utakuwa unajiandaa kuingia kilingeni na watani zako 2010. Keep that clean sheet .
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,872
Likes
8,025
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,872 8,025 280
Kagame..atapewa Kagame...
 
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined
Jan 16, 2008
Messages
193
Likes
78
Points
45
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined Jan 16, 2008
193 78 45
I would vote Kikwete out, not because he is not suited for the job, but beacuse there is much to take care of at home. If however you reshuffle your cabinet and give the premiership to some clean responsible guy before, you will have my blessing!
 
RR

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,799
Likes
268
Points
180
RR

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,799 268 180
I would vote Kikwete out, not because he is not suited for the job, but beacuse there is much to take care of at home. If however you reshuffle your cabinet and give the premiership to some clean responsible guy before, you will have my blessing!
Ndio JMK anafaa, ila ni kweli ana mambo mengi yanayomhitaji ndani ya tz.
 
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
4,699
Likes
101
Points
145
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
4,699 101 145
I would vote Kikwete out, not because he is not suited for the job, but beacuse there is much to take care of at home. If however you reshuffle your cabinet and give the premiership to some clean responsible guy before, you will have my blessing!
Kwani kuwa mwenyekiti wa AU kuna kazi yoyote! Acheni Tanzania ichukue umwenyekiti!

Remember we say Tanzania kuwa mwenyekiti, hatusemi JK kuwa Mwenyekiti!!!
 
SYLLOGIST!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Messages
317
Likes
63
Points
45
SYLLOGIST!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2007
317 63 45
A far as I know this organ has no teeth! Ni mwiba huu! Mwacheni kwa faida ya Title.
 
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,294
Likes
3,027
Points
280
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined Nov 5, 2006
9,294 3,027 280
apewe tu ..urais AU si ishu..secretariat inafanya kila kitu..its just ceremonial....hata IDD AMIN alimudu kuwa mwenyekiti pale...kama italeta sifa kwa nchi yetu apewe,,.....
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,937
Likes
4,835
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,937 4,835 280
Watanzania bwana, si mara mia tungeshadadia kama tungepata Mtanzania kwenye post ya Chair person wa AU Commission? Maana huyu ndiye mwenye rungu la kila kitu! Otherwise its business as usual, Kufour kamaliza mda wake sijawahi kumsikia kama kafanya lolote la maana...Anyway Its Africa.

Well kwa sababu state relations ni muhimu na Tanzania we are part of this world haina ubaya kama JK akipewa hii nafasi, but the question is: Kama ameshindwa kutuletea the so called maendelo (rather kusimamia vyema juhudi za kuleta maendeleo TZ) ataweza kweli akishakuwa global trotter? Hopefully this time around CCM hawatapanga maandamano ya kumpongeza JK kwa kupata hiyo nafasi.
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,937
Likes
4,835
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,937 4,835 280
By the way Ngoja tusubiri unafiki wa viongozi wa Africa kesho kutwa pale Addis. How will Kibaki of Kenya be handled and treated? Have African governements recognized his administration? Atapewa Red Capert? Lets wait and see. AU NI INTERNAL MATTER OF KENYANS? BECAUSE AFRICAN LEADERS ARE FOND OF THAT PHRASE!
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,893
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,893 280
Mimi nasubiri kwa hamu nione kama watakubali kuupokea ujumbe wa kibaki,maanake kuupokea ni kuitambua serikali yake

Na kama wataitambua serikali ya kibaki basi itakua ni laana ya Bara letu.


Hivi Jk akipata huo uenyekiti si ndio atakua anakesha angani kuliko ofisini,maanake kwa mgogoro kama huu wa Kenya ndio angehamishia makao kule kabisa kujifanya yuko kwenye hatrakati za usuluhishi.
 
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined
Jan 16, 2008
Messages
193
Likes
78
Points
45
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined Jan 16, 2008
193 78 45
Kwani kuwa mwenyekiti wa AU kuna kazi yoyote! Acheni Tanzania ichukue umwenyekiti!

Remember we say Tanzania kuwa mwenyekiti, hatusemi JK kuwa Mwenyekiti!!!
Ikiwa hakuna kazi yeyote, tuchukuwe wa nini? Tumeona Kufour alivyokuja Kenya na kupata aibu kubwa, akipoteza muda ambao angeutumia kupambana na ufisadi huko ghana. Na Sidhani kama kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania kuwa Mwenyekiti na JK kuwa mwenyekiti.
 
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Mimi pia naona si vibaya tz ikichukuwa hiyo nafasi lakini candidate wetu hafai, siamini hata kama anaweza kuwa say mediator au hata advisor. Na mbaya zaidi CCM wataitumia hiyo kama + in 2010 na kuzidi kuongopea kwamba raisi wetu anakubalika nje na ndani ya nchi.

Mimi kwa bidii kabisa nisingependa Muungwana akamate hiyo nafasi na mbaya zaidi kuna uwezekanao akatuabisha.
 
bokassa

bokassa

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2007
Messages
403
Likes
1
Points
0
bokassa

bokassa

JF-Expert Member
Joined May 19, 2007
403 1 0
AU wabadili katiba, maraisi wastaafu ndo wawe maprezident!!! BWM angepata kura yangu, msaidizi wake Chisano!!!!
 
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Messages
3,905
Likes
171
Points
160
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2007
3,905 171 160
Hivi wakati wote wa OAU na sasa AU Tanzania imewahi kuwa Mwenyekiti?

JK achukue tu hili jukumu!

It may be a Pride kwa Tanzania- na kwa vile anapenda U Vasko Da Gama- basi justification itakuwepo!
 
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined
Jan 16, 2008
Messages
193
Likes
78
Points
45
Nyadundwe

Nyadundwe

Senior Member
Joined Jan 16, 2008
193 78 45
AU wabadili katiba, maraisi wastaafu ndo wawe maprezident!!! BWM angepata kura yangu, msaidizi wake Chisano!!!!
Uharibifu aliofanya kwa kura yako 1995 na 2000 hautoshi?
 
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
1984 Julius alikuwa chea wa OAU
 
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,614
Likes
226
Points
160
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,614 226 160
Mimi napinga kuongoza Umoja huo kwani Nchi yake inaongoza kwa rushwa kubwa ambazo hazijawahi kutokea au kujulikana hapa Barani Africa ,Demokrasia haipo,ukiukwaji wa haki za binadamu unakaribia kuvuka mipaka ,maana penye rushwa hakuna haki.Kuna nchi ambazo zimepiga hatua katika demokrasia na zipo Africa na husikii kwiyoo ya wananchi wake kulalamika kila ufikapo wakati wa heka heka za uchaguzi,inabidi kampeni za kumpata kiongozi wa AU ihusishe nchi zile ambazo Maraisi wake wamechaguliwa bila ya malalamiko ,kwani hawa watakuwa na moyo wa kuona wengine wanatekeleza ,sio huu umoja wa East Africa ambao viongozi wanashindwa hata kupinga mambo yaliotokea Kenya kwa sauti ya wazi ,wakiogopa kitumbua chao kikaingia mchanga ikifika zamu yao,ndio hivyo hivyo wakipata ukubwa katika ngazi hii ya Au watawashawishi wengine kuunga mtandandao wa udikteta..mpoo.
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
Yaani hapa ni kidumu Chama cha Mafisadi tuuuu! Mnachoshangilia hamna! Huyu awe rais asiwe wa AU watu wameshamjua. Diplomats wote nchini wanazungumzia jinsi mheshimiwa alivyochemsha katika all aspects of leadership in economy, social, political reconciliation with CUF! Wnanchi na sisi tumechoka, sasa akiwa Chair si ndiyo atazidi kutafuta sababu za kuvunja rekodi ya Vasco da Gama, ingawa kama tulivyosikia mheshimiwa Waziri wa mambo ya nje amesema na yeye anatamani kuitwa VDG! Naona ametoka kimasomaso na trip hii ya Addis, sasa namwombea Mungu abahatike kusogea mbali kidogo labda hata bila bosi wake ili na yeye aweze ku collect a few airmiles!
 

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,365