Pamoja na pongezi zetu kuhusu baraza lako jipya la Mawaziri lakini kuna mawaziri wawili wanatutia Kichefuchefu, Mmoja ni Profesa Mwandosya kosa la huyu msomi ni dogo sana lakini linaathali kubwa kiutendaji.
Alipokuwa akitembelea vyanzo vya maji Dar aliwaomba watendaji wake kutowataja Mawaziri wasiolipa maji ili wasije kuumbuka na badara yake alisema yeye yuko tayari kuwalipia tunachouliza kama waziri halipi mwenye mishahara miwili wa Ubunge na wa uwaziri analipiwa kwa nini usiwalipie wale wanao katiwa maji kila kukicha kwa kukosa sh 10 000/= tu? JK mwangalie huyu jamaa atatupatia hasara ndani ya Serikali.
Mwingine anaetuchefua ni Chenge huyu alisaidia kusaini mikataba yote mibovu iliyopo sasa hivi. kwa hiyo kuwepo kwake Ndani ya Baraza ataendelea kuilinda mikataba hiyo fanya namna JK.