JK lashes at inertia in Dar city | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK lashes at inertia in Dar city

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Jan 29, 2009.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  When is this guy going to realise that these old fools cannot do the job and should be fired. How many chances are they going to get?

  Tanzania Standard Newspapers|Home
   
 2. A

  Alpha JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  More foolishness from Dar 'City Fathers'

   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Kwa ushauri wa bure kwa JK, Meya wa Jiji, Madiwani na watendaji wa Jiji ni bora wajifunze toka kwa wananchi hawa wa Maili nne na Magomeni kule Zenj
   
 4. K

  Koba JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  hao jiji kazi ilishawashinda,dawa ni kuhamisha city planning na shughuli zote za usafi kwa wataalam sio hao wanasiasa njaa ambao hawana idea hata namna ya kuendesha kioski!
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,671
  Likes Received: 82,493
  Trophy Points: 280
  JK lashes at inertia in Dar city
  PIUS RUGONZIBWA PRESIDENT
  Daily News; Thursday,January 29, 2009 @21:15​

  Jakaya Kikwete has blasted authorities in Dar es Salaam Region for irresponsibility and inertia, saying this left the country’s commercial capital poorly planned, dirty and dangerous. There was corruption in land surveying and allocation of plots, resulting in haphazard construction of houses and encroachment on open spaces, he said.

  Mr Kikwete was addressing Dar es Salaam councillors at a dinner they hosted on Wednesday to celebrate achievements of the Fourth Phase Government. He said he was not happy with the state of the city, which is currently characterized with poorly planned construction of high rise buildings.

  Garbage was piled up on city streets and the authorities should urgently take measures to make the city clean, he directed. Mr Kikwete lamented that high rise buildings mushrooming in the Central Business District lacked proper drainage, water supply and access routes.

  He said congestion in the city could easily be avoided by construction of fly-overs and satellite towns. He told the councillors that the government wanted Dar es Salaam turned into a world-class commercial centre, tourist hub and conference venue.

  The president said Air Tanzania would soon be revamped to introduce regional and international flights from Dar es Salaam. The city needed an international convention centre capable of accommodating up to 3,000 delegates. He said a Chinese Company had been contracted to build the centre to be named after the Father of the Nation, Mwalimu Nyerere.

  Earlier, councillors told the president that the city needed about 120 vehicles, 15 tractors, 120 trailers and six bulldozers for speedy and professional collection of garbage.
  They said 5bn/- was needed to finalise construction of a modern sanitary landfill at Pugu outskirt. “We ask for the banks to issue soft loans for buying equipment for collection of garbage,” said councilor Ahmed Mwilima, who noted that current capacity could handle only half of the 3,350 tonnes of garbage generated daily.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160


  ...Bad Bad Bad dream Mr president, wakey wakey, its a nightmare you are having...!

  Unawaonea bure tu hao madiwani, Shukran pekee kwa Wajerumani walobuni mpango mji wa Dar na kujenga mpaka Ikulu yako mzee..

  Wakoloni wa Kiingereza wametuachia kasumba mbaya sana ya kutobuni mambo mapya isipokuwa longolongo!

  Bora mji mpya wenye hayo ma flyovers, mabasi yaendayo kasi, etc etc yajengewe hukoo Bwagamoyo, au mnasemaje wakuu...​
   
 7. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ...enjoying life,” he said. He said other important areas for people to rest were beaches, adding it was astonishing to hear that some of the beaches were prohibited for people to visit.

  The president wondered how authorities could prohibit people from visiting beaches during their leisure time like weddings for instance. “How much does it cost you to let young couples take snaps for their sweet memories! You can make good use of the places through introducing special permits but not completely prohibit them,” ...


  Iko haja hawa waheshimiwa madiwani wakaelewa kuwa kazi yao si kuongeza kero kwa wakazi wa jiji badala yake ni kuboresha maisha ya wakazi hao.
  Kwa kweli hili jambo la kuzuia matumizi ya fukwe kwa kupiga picha za harusi nk ni kitendo cha kiunyanyasaji kabisa ambacho hakikulenga katika kuonesha uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi wao waliowaweka hapo.
  Hayumkini kuona kuwa mambo mengi yanayoamuliwa na madiwani wetu hayana maslahi kwa wananchi zaidi ya kuangalia maslahi binafsi au ya kikundi cha watu wachahce.
   
 8. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  We have here a situation where the government in Dar es Salaam is saying that the government of Dar es Salaam is not working. I say that neither government is working.

  The CCM government has been ruling Dar for half a century, and all they have to show for it is a pile of rubbish in the streets! It is time some other party had a chance. They couldn't do worse, because it is not possible to do worse! There is simply no room for that.
   
 9. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ninafikiri huenda posting yako hapo juu umekatisha, Je unaweza kutuelezea ni kwa namna gani 'the other party' kinaweza kupata hiyo nafasi au kuna kikwazo gani kwa hiyo 'other party' isichukuwe nafasi ya kuongoza jiji?
   
 10. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Pundamilia07,

  Mabadiliko ni kwa upinzania kushinda uchaguzi mkuu ujao, na kuunda serikali. Hili linawezekana, na limewezekana kwa majirani wetu wa Kenya na Zambia, na kwa nchi nyingine za Afrika kama Ghana.

  Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. CCM has been corrupted by power. Inabidi kikae upinzani kama miaka mitano au kumi. Baada ya hapo, kitatoka huko kikiwa chama kizuri sana, na kitatawala tena.

  Meantime, we need people like Dr. Wilbrod Slaa to provide the nation with a new leadership. Without change, we will continue to wallow in rubbish.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nikiangalia makadirio, mafanikio na matokeo ya ujenzi wa mji wa Dodoma, napata mashaka kama daraja la kigamboni na hayo ma flyovers yatakuja kua kweli au ndoto za alinacha jijini Dar es salaam...!
   
 12. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu mpango wa kuwa na municipal council tatu umefeli zamani, umeongeza gharama za uendeshaji kuwa na mameya wanne wakurugenzi wanne na wafanya kazi wengine kada mbali mbali katika jiji moja. New York City ni jiji kubwa kuliko Dar lina meya mmoja na mkurugenzi mmoja na kila kitu kinatendwa kwa ufanisi wa namna yake. Dar watendaji hawaelewi kama ni jiji au kijiji utendaji wao hauridhishi kwa kiwango chochote. Mheshimiwa Rais atapiga makelele na miaka yake kumi itamalizika atatuacha hali kama alivyoikuta. Inasikitisha hata kupiga picha za harusi ufukwe wa ocean road mpaka Rais alisemee kama wanawanyima haki raia wema kuweza kustarehe?
   
 13. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hizi ndio zile hadithi za danganya toto. Watu wanazungumzia flyovers wakati wameshindwa kuzoa taka barabarani? Watu wanzungumzia flyovers wakati mataa ya barabarani hayawaki? Kuziba ditches tu imekuwa ni issue. Kujenga vituo vya daladala tu imekuwa ni issue. Kikubwa hapa sio flyovers, bali ni mpangilio mbovu wa jiji zima la Dar.

  Sasa hivi tufikirie kukabiliana na baa la njaa linalokuja. Nilikuwa maeneo ya wilaya ya Kahama hivi majuzi na hali ni mbaya sana kwa kweli. Mazao yamekauka shambani kwa kukosa mvua. Japokuwa mvua zimeanza huko kwa sasa, lakini its too late maana mazao yalishakauka. Serikali ianze tu kujipanga kulikabili hilo.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,671
  Likes Received: 82,493
  Trophy Points: 280
  2009-01-30 06:51:00

  Dar traffic jams 'to worsen'
  By Damas Kanyabwoya
  THE CITIZEN​

  Traffic jams in Dar es Salaam will be worse in the next few years if no "immediate measures" are adopted to control traffic volumes, it has been warned.

  "The number of vehicles in the city is doubling after every eight years while that of vehicles plying city routes doubles every four years," the Dar es Salaam Rapid Transport Agency (Darta) said.

  The city's roads will be overwhelmed by heavy traffic and driving in any part of the city will be complicated, the agency's chief executive officer Comas Takule told reporters in Dar es Salaam.

  He urged responsible authorities to "devise and immediately implement short, medium and long-term solutions" to ensure future smooth traffic mobility.

  The city is in urgent need of decongestion, he said, and this would be achieved through coordinated and centralised efforts by all road stakeholders. Darta has a mandate to ensure an efficient bus transport system and traffic mobility in the city.

  The agency also monitors the public transport system to make sure it is reliable, efficient and affordable. Other road agencies in the city are Tanroads, the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (Temesa), and the Surface and Marine Transport Regulatory Agency (Sumatra).

  Mr Takule said the agencies, in collaboration with municipalities should strive to build flyovers at some of the busiest road junctions in the city. Some of the worst congestions in Dar es Salaam occur at the intersections of Mandela and Nyerere roads; and Mandela/Morogoro roads at Ubungo. Dart says it has already initiated a project to decongest the roads.

  The project is to be implemented in six phases along six major corridors of Dar es Salaam. The agency is also developing the Dar es Salaam Transport Policy and Systems Development Master Plan aimed at addressing the problem.

  "At this point, detailed designs and a project document for Phase I of the project are in place and the process of procuring a contractor for the first phase is in progress," said Mr Takule.

  He told reporters that the project's first phase would be complete by November 2010, and is expected to cover 29 kilometres from Kimara to Kivukoni. It will cost about $122 million (approx. Sh160 billion) to be funded by the Government and World Bank.

  "Already Sh10 billion has been released to compensate people whose structures will be demolished to pave the way for the project," Mr Takule said.

  Traffic congestion caused by a number of factors from bad roads to increased traffic volumes has been a problem in Dar es Salaam for a long time.

  Motorists and transporters cry of delays, lost hours and fuel costs due to traffic jams which get worse during the rain season.

  Some government officials from neighbouring countries using the Dar es Salaam Port were recently in the city seeking ways by which they could cooperate to allow the smooth flow of traffic to their destinations.
   
 15. C

  Chuma JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  its Good move...ila msifanye ufisadi tu....maana hao watakaolipwa msije kuwadhulumu....na barabar zijengwe ktk standard za Hali ya juu na ziwe za muda mrefu, msije mkasema ohh....Tulisahau ohh..acheni upuuzi wa kula pesa za umma
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  wakuu ukweli upo pale pale , tatizo kubwa ni siasa, wataalamu wanatoa mapendekezo yao hapo pasijengwe lakini cha kwanza kuona ni bendera ya ccm na kesho yake ghorofa lenye ubia na waziri, ukifika Botswana utashangaa mji ulivyokuwa planed, streetligts, usafi sewarage etc, lakini maengeneer almost wote (City engeneers) ni waTanzania, kwa nini walishindwa hapa. JIBU NI RAHISI BOTSWANA MAENDELEO NA SIASA NI VITU VIWILI YTOFAUTI, ENGENEER AKISEMA HAPA NI OPEN SPACE BASI INABAKI KUWA HIVYO. LAKINI SIO HAPA HATA MAKABURI MTU ANAPEWA KIBARI NA SERIKALI KWA SABABU MTOA KIBALI ALIPEWA KINOTE
   
Loading...